harufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupaka marashi (perfume): Siri 8 za kufanya harufu ya marashi idumu kwa muda mrefu

    Moja kwa mbili kwenye mada: 1. USIPULIZE KWENYE NGOZI NA KUISUGUA: Kwa nini? *Kwa kusugua kwenye ngozi baada ya kupaka kutayafanya marashi yako yapotee (evaporate) kwa haraka zaidi kabla hayajatulia kwenye ngozi na kujichanganya na mafuta asilia ya ngozi (skin oils). *Kuyatawanya kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

    Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani. Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

    Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi. Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
  4. JamiiForums Tanzania TAKUKURU wachunguze mkataba tata kati ya Mahindra Tech na TANESCO. Huenda kuna harufu kubwa ya ufisadi

    Kwa taifa masikini kama Tanzania ambalo raia wake maskini wanakamuliwa kodi na tozo za kila aina kuingia mkataba wa bil 60+ ili kukodi software ya gharama ya bil 60+ ili hali wanafunzi hawana madarasa, maji ya uhakika, umeme na hata makazi mazuri ni kukosa busara. Hivi kweli Tanesco wanahitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

    Watu wa Dar es Salaam, Mambo yamekuwa sio mambo, ni harufu kali na uchafuzi wa mazingira unatokana na uhaba wa maji Familia zenye watu wengi ni shida na balaa, Watu wana nawa uso tu, nguo hazifuliwi zinanuka jasho Je, CCM ni ile ile au hii nyingine Na joto kali sio Dar es Salaam tu bali...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
  7. JamiiForums Tanzania Harufu ya perfume yake haitoki puani mwangu

    Habari za jumapili watu wangu nguvu..natumaini mlioenda nyumba za Ibada leo mmetuombea🙏 Jamani sijui ni hii pua yangu inafanya makusudi kuhifadhi hii harufu. ..🤔🤔 Mpenzi msomaji siku kadhaa zilizopita nilikuwa kwenye party fulani hivi ya watu tunaofahamiana nao😊mida ya kuondoka bhana mkaka...
  8. JamiiForums Tanzania Spirit bora zisizo na harufu baada ya kutumia

    1. Valeur(valuu) hii ni ni chaguo langu ila shida koo kukauka usiku. 2. Smartgin hii ni nzuri sana hata ukinywa kavu haina shida,kasoro tu chipa yake ni plastiki. 3. Kiwingu hii naipitisha kwa 80% sababu haina harufu,hata uchanganye na safari lager asubuhi unaamka kama ulilalia maji ya bomba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenge wabaini ufisadi wa TZS 65B kwenye miradi 49 ya halmashauri 38 Je, nini kitaendelea?

    Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa,Je ni kweli Mwenge haufai? mnaosema Mwenge hauna faida hamfai kuchaguliwa hata kwenye jitongoji tu, " Chato tunasema Asante "...
  10. JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili

    Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, kitendo cha kujamba japo kinachukiza na kukera lakini kina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Wanasayansi hao...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?

    Wakuu kwema! Aisee! Baada ya kutoka kuzurura huko Duniani, sitaki kupataja nisijeonekana najikosha hapa, na wenye nongwa zao na vijiba vya roho wasije nitolea mvuke wa ushubwada. Ila ifahamike tuu nimetoka huko Dunia ilipo. Kwa kweli Dar inanuka vibaya mno. Inanuka vitu mfano wa mavi, sijasema...
  13. JamiiForums Tanzania Alichofanya Mhariri ya Gazeti la Uhuru kina harufu ya uhaini

    Gazeti la Chama Tawala limefungiwa kwa kuandika taarifa ya isiyokuwa sahihi kuhusu Mkuu wa Nchi na Amirijeshi Mkuu wetu ambayo imesababisha taharuki za kisiasa, kikanuni na kikatiba kwa taifa. Haiwezekani gazeti la Chama tawala likosee taarifa kuhusu Mwenyekiti wa chama wao na Mkuu wa taifa kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Harufu ya zuio la Mikusanyiko ikiwamo Mahakamani linanukia

    Ile tarehe yetu inapozidi kujongea harufu ya zuio la Mikusanyiko nayo inazidi kunukia. Bila shaka tukataarifiwa huko mahakamani kuwa kama Tokyo 2021. Olympic bila mashabiki angalau kwa wiki hii ili kudhihibiti maambukizi ya Corona. Shit hole countries kila jambo ni fursa. Yakisikika hayo miye...
  15. JamiiForums Tanzania Mnadhibiti vipi harufu ya "nnya" isitapakae hapo sebuleni?

    Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni changamoto jamani. Ukute una wageni kisha mtu akaenda kutupia, kisha ukute ni wale watu "nya" inanuka...
  16. JamiiForums Tanzania Harufu kali ya mkojo wa mtoto inasababishwa na nini?

    Habari za humu ndani ndugu wataalam, Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko kawaida. Kwa mfano akijikojolea tu ndani ya dk zisizozidi 2 mkojo wake unatoa harufu kali sana...
  17. JamiiForums Tanzania TMDA: Ukitumia antibiotiki na usipokojoa mkojo wenye harufu, jua hiyo ni bandia

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Bw. Adam Fimbo ametoa rai kwa jamii kutambua dawa zote za antibiotiki (Antibiotic) endapo watazitumia kwamba ni lazima iwe na matokeo ikiwemo harufu katika mkojo wa mtumiaji baada ya kutumia. Bw. Fimbo ametoa rai hiyo wakati wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote. Siumwi homa, wala mafua. Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto). Kuna wenzangu humu? Baadhi ya Maoni yaliyotolewa Sent using Jamii Forums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…