Hivi kwanin kila nchi, kila sahemu haikosekani bang?
Nimepitia Kenya mitaa ya town pale kwa madhee na nk, theka theka mako go hadi del monte kule kwenye mlima, kisii mitaa ya keroka, gesima hadi mosobeti na masehemu kibao mengine.
Ni mzawa wa dar, nimeishi kko, Palestina hadi mori, majumba6...