harmonize

  1. JamiiForums Tanzania Harmonize kama anayoongea Mwijaku ni uongo nenda mahamani! Ukikaa kimya utakuwa mjinga

    Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala. Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja ni udhalilishaji mbaya mno kuwahi kutokea! Maswali ya kujiuliza ni je Mwijaku Huwa anaingia...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

    Kunako mitaa ya Instagram Wasanii wameweka status tata katika akaunti zao. Harmonize ameweka haya 👇🏾 Huku Kajala akiweka haya 👇🏾
  3. JamiiForums Tanzania Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

    Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory. Ndoa njema.
  4. JamiiForums Tanzania Kajala yupo tayari kubadilisha dini kwa sababu ya penzi la Harmonize

    Nimeiona hii nikaona isinipite nishee na wenzangu. Hivi, kama mtu atasaliti dini, kumsaliti binadamu mwenzake je? Full story
  5. JamiiForums Tanzania Harmonize na vijana wake wapo na Singida Big Stars

    Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida. Pia ataongozana na wasanii wote...
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize na Konde Gang watatupa

    Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida. Siku hili ni maalumu kwa ajili...
  7. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  8. JamiiForums Tanzania Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

    Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri. Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza. Na huenda akawa msanii wa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Harmonize kusemwa imesaidia, amefanya diet mwili umepungua

    Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi. Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize kampoteza Diamond Platnumz?

    Je diamond platinum kapotezwa na Harmonize.. au bado.. piga kura
  11. JamiiForums Tanzania Wajua nini kilichomfanya Harmonize kujiita "Robert"?

    JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"? Anaandika, Robert Heriel. Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana. Jua...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Moral Lesson kutoka kwa Harmonize

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye. Ukiachilia mbali muda...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

    Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako. Kuna watu wanapendwa jamani. Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
  16. JamiiForums Tanzania Harmonize kafunika sherehe ya Yanga leo

    Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana. Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga. Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize. Hongera sana...
  17. JamiiForums Tanzania Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo. Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

    Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja. Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  20. JamiiForums Tanzania Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

    Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…