harmonize

  1. JamiiForums Tanzania Watanzania mmepeleka moto mpaka Harmonize kaahirisha show yake ya Dodoma. Naona ujumbe umefika

    Wakuu, Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo Kama huyu Harmonize hata...
  2. JamiiForums Tanzania Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote. Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu. Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
  3. JamiiForums Tanzania Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

    Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Harmonize: Nimeghairi kugombea Ubunge, nitashindwa kutamka 'Bomboclaaaaty'

    Nimepitia Sheria za kamati ya Maadili ya Chama & Bunge Simuoni KONDEBOY kwa ninavyoona hata kusema BOMBOCLAAAATY sitoruhusiwa. Niwapongeze wana CCM mliojitoa Kutangaza Nia za Kugombea Nafasi Tofauti Tofauti Especially Vijanaa. DINI YENYE WAFUASI WENGI UJUE INAKUBALIKA. Tandahimba Chagua...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia agawa Bahasha za Maokoto kwa wasanii Rayvanny, Saida Karoli, Harmonize uzinduzi wa daraja la Magufuli jijini Mwanza

    Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi) lililofanyika leo Juni 19, 2025 mkoani Mwanza. Wasanii hao walipewa bahasha za fedha baada ya kumaliza...
  7. JamiiForums Tanzania Harmonize aliishia wapi ile project ya kutoa chakula??

    Naona Jaden Smith Kapita nayo huko,je harmo amefeli wapi.
  8. H

    JamiiForums Tanzania IBRA: harmonize amewekeza mil 6 pekee tu kwangu

    Msanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000 anazikataa anasema sio zinazoendana na thamani yangu na label kiujumla wakati uwekezaji wake ni mdogo...
  9. JamiiForums Tanzania Harmonize, Ibraah waitwa BASATA. Watakiwa kufika ofisini Jumatatu

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12, 2025 kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo. Taarifa hiyo ya BASATA inakuja kufuatia mvutano...
  10. JamiiForums Tanzania Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mwakani

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
  11. JamiiForums Tanzania Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

    Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

    Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao iko bayana Kurwa anangara maana hapigwi jua maisha yake ni full kiyoyozi Doto kapauka Hawafanani...
  13. JamiiForums Tanzania Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

    Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang "Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dola, Simba, Yanga, Harmonize na Diamond jambo gani tena linaifanya CHADEMA isiungwe mkono na wananchi walio wengi?

    Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza. Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection]. Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
  15. JamiiForums Tanzania Me too ya Harmonize na Abby Chams: Moja ya nyimbo kali kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya Muziki wa Tanzania.

    https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=bMgpLjfzFdFBAqSx
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

    Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Harmonize amuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo wakiwa visiwani Zanzibar

    NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote...
  18. JamiiForums Tanzania Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?

    Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi? Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo...
  19. JamiiForums Tanzania Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  20. JamiiForums Tanzania Harmonize atumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa Diamond kwa bifu lao lililotokea, 'Am Sorry'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea, akisisitiza kuwa hana tena nafasi ya kutoelewana na mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…