hardware

  1. VN Warehouse Limited

    Tangazo Maaalum la VN Hardware

    VN HARDWARE ni duka la kisasa la vifaa vya ujenzi linalolenga kutoa suluhisho kamili na la kuaminika kwa sekta ya ujenzi. Tunajihusisha na usambazaji wa vifaa bora vya ujenzi kwa mafundi, wakandarasi, kampuni na wateja binafsi, tukizingatia viwango vya ubora, ufanisi na huduma ya kitaalamu...
  2. F

    NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  3. E

    Ushauri kati ya biashara ya hardware au pharmacy wholesale

    Habari wandugu Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
  4. neggirl

    Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  5. G

    Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

    Habari wadau wa jukwaa hili. Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni. Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)...
  6. Financial Analyst

    Acha wewe, ku-run hardware inahitaji nguvu mno, yani unakuta kabox kamoja kenye bidhaa aina tatu tu za jumla ni lakini nane

    Ndio maana wengi wanakimbia ukanda huu wa biashara Unakuta unakosa nguvu na kuwa na variety nyingi dukani za kuvuta wateja wasiondoke kwa maana wasikose bidhaa fulani dukani kwako Kwa hio kama unaingia katika sekta uwe vizuri financially, tofauti na hapo utakaa ndani unahesabu mabox.
  7. Brojust

    Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  8. ndege JOHN

    Kwa location ya fremu hii ya bure niuze hardware au chips

    Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu. 1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji) Advantage: -Connection ya mafundi na mimi...
  9. Vien

    Biashara ya Hardware kwa Mtaji wa Milioni kumi (10m)

    Habari wanajukwaa, Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa 👇🏻 Electrical items Insulation tape Bulb enery savers...
  10. Baba Mtakatifu

    Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
  11. gaintoo broisser

    Mwenye Hard Disc

    Nahitaji Hard Disc Nipo Shy Town mwenye nayo Tufanye Biashara Ukubwa 1Tb 2Tb 3Tb na Kuendelea NOTE: Sihitaji Za Madukani Bei Gali Sana .
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware. Nafaka nilitaka nideal na maharage...
  13. Mus_musa

    Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

    Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  15. Beberu

    Biashara ya Hardware kwa 13M

    Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake, Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo, Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu, Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara...
  16. Investo

    Kwa wamiliki wa hardware je! Mnakopesha material au ni Hawa tu?

    Nipo hapa karibia na hardware,na jamaa anapesa Sana na anamiliki hardware mbili hapa mjini,hapa kawaacha wafanyakazi tu,Sasa siku moja nikawa na piga stoli na mfanyakazi mmoja ,katika kongea akanipa za ndani kabisa kuwa Kuna mfanyakazi kafukuzwa hapo,na namfaham kabisa,kaondoka na daftari la...
  17. W

    Electronics hardware na changamoto zake

    Habari wataalamu wa biashara! Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii biashara! Nipo Kagera- Biharamulo Naomba kuwasilisha madam!
  18. I

    Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

    Habarini wakuu, Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wapi naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa DSM na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia. Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa...
  19. Z

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  20. W

    Matatizo makubwa ya Nchi zetu na Bara la Afrika yanatokana na 'software za ubongo na sio hardware'. Yaani tatizo ni 'minds'

    Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa. Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi. Tatizo...
Back
Top Bottom