Kwa wamiliki wa hardware je! Mnakopesha material au ni Hawa tu?

Investo

JF-Expert Member
May 19, 2020
538
1,138
Nipo hapa karibia na hardware,na jamaa anapesa Sana na anamiliki hardware mbili hapa mjini,hapa kawaacha wafanyakazi tu,Sasa siku moja nikawa na piga stoli na mfanyakazi mmoja ,katika kongea akanipa za ndani kabisa kuwa Kuna mfanyakazi kafukuzwa hapo,na namfaham kabisa,kaondoka na daftari la madeni linakalibia 20M na jamaa alivyoona itakuwa noma hakulionesha daftari akamuolozeshea machache tu.
Sasa Leo Napo,asubuhi nafungua kiduka changu namuuona muuzaji anapagwa amkopeshe jamaa mzigo malipo jioni,Sasa nyie wamiliki wa hizi vitu waga mnatoa ruhusa Yani Mimi nije kuchukua cement,nondo mazaga kibao alafu nikulipe baadae na naenda kujenga inamake sense kweli 🤔
 
Back
Top Bottom