haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

    Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira. Kutokana na ongezeko hili la viwanda, kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada...
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

    Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu...
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA HARAKA UPANGA!

    *🏢 Apartment moja ya vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 * 🔑 Vipengele Vikuu: IPO KATIKA UBORA: ipo katika jengo lenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: inauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  8. JamiiForums Tanzania ZINAUZWA HARAKA UPANGA! 🏢 Apartments mbili za vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 kila moja!**

    **ZINAUZWA HARA 🔑 Vipengele Vikuu: ZIPO KATIKA UBORA: Zipo katika majengo yenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: Zinauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 ⚠️ Angalizo: "Hizi sio za...
  9. JamiiForums Tanzania Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  10. JamiiForums Tanzania Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

    Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwa haraka haraka ng'ombe 400 watakua ni bei gani

    Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote. Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake? Binafsi ningekuwepo nisingekula
  12. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anahitaji ushauri wa haraka ili kuokoa uhai wake

    Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia. Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka ahakikishe kinywaji kimeisha. Mnaomfahamu, huyu kijana anahitaji msaadana ushauri wa haraka la sivyo uhai...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ninamiliki blogu inayoniingizia wastan laki 4 kila mwezi, sio pesa ya haraka bali ni uvumilivu na consistency

    Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani niposti habari za michezo, miziki, udaku, n.k. hapa ndipo watu wengi sana wanafeli na kuzifunga blogs zao...
  15. JamiiForums Tanzania Hard Disc inauzwa, mwenye hela ya haraka aje

    Kuna Hard Disc inauzwa kwenye hela ya haraka aje aichukue. 1 TB aina ya Transcend Bei yake ni 70,000 Piga simu au WhatsApp: 0683535699
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ifanyeni hoja ya Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kuwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi (TAMISEMI) kuwa hoja kubwa, itaeleweka kwa haraka

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia (Permanent Ink for Plastic)

    Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CTI Yatoa Wito wa Hatua za Haraka za Sera na Utekelezaji ili Kulinda Maisha na Mapato katika Sekta ya Viwanda

    Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madereva wa Mabasi huwa wana haraka hata kama sehemu haiwaruhusu kupita wanalazimisha?

    Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii. Serikali pia iwawajibishe wasiangalie makosa ya vibao vya 50 tu au kuzidisha abiria kuna tabia nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…