haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA mchukueni Luhaga Mpina haraka

    Luhaga Mpina ni mtu nondo kweli. Ni mbunge mjenga hoja na mwana mapinduzi kweli kweli Hata alivokuwa waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa Nondo na alifanya vyema kuzidi huyu wa Sasa. Alikomesha uvuvi haramu, alikomesha uharamia ziwa Victoria ambapo wavuvi walikuwa sana na kuibiwa engine za boat ⛵...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  4. JamiiForums Tanzania Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)

    Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
  5. JamiiForums Tanzania Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza haraka🙏

    Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini miradi mingi ya serikali inachelewa huku miradi binafsi ikikamilika kwa haraka na viwango?

    Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini? 1. Ukiritimba? 2. Usimamizi mbovu? 3. Poor project planning? 4. Ukosefu wa fedha? Naomba wajuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

    Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Ujuzi mashuleni ili kutengeneza kizazi cha kujitegema na kufanya nchi kukua kiuchumi kwa haraka

    UTANGULIZI: Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya. UMUHIMU WA ELIMU I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika

    Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
  11. JamiiForums Tanzania USHIRIKIANO HUU UNACHOCHEA MAENDELEO KWA HARAKA SANA VIJIJINI

    hamasa na shauku walionayo wananchi hususani vijijijni, ya kuanza kutekeleza miradi ya maendeleo kulingana na vipaumbele vya mahitaji yao, inakwenda kutrasform maisha yao kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa haraka sana... serikali pamoja na wadau wa maendeleo katika maeneo husika, wamehamasika...
  12. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  13. JamiiForums Tanzania Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili tujuzeni ==== === Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vilio vya Wastaafu wa majeshi vitatuliwe haraka, kinachoendelea ipo siku kitatengeneza ‘matunda yasiyofaa’

    Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata. Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika hadharani, lakini kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo ambavyo vilio vimeendelea kusikika mdogomdogo...
  16. JamiiForums Tanzania MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Jina la mkongo wa taifa lifutwe haraka

    Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba? Anyway wajuvi najua mtakuja...
  18. T

    JamiiForums Tanzania House keeping wanahitajika haraka

    Hoteli ya Lahe hotels Mwanza inahitaji Kuajiri proffessional mfanyakazi wa vyumbani kwa mshahara 150000/= tafadhali wasiliana na meneja 0715450012 au 0655290084.
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Kama Serikali ikishirikiana na wawekezaji kuwekeza kwenye public Wi-Fi, Tanzania tuitakayo itakuja haraka sana

    Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani. Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…