hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
  2. JamiiForums Tanzania Mshumaa kama timer kwenye madanguro hapo kale

    Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his session was over. Huu mshumaa uliwaka kwa dakika saba. Mteja ndiye aliyekipia gharama za mshumaa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama umechoka kwanini usiondoke hapo?

    Huyu ananipigia simu kuwa kipigo kimemchosha, ajabu hataki kuondoka hapo kwa mmewe sijui labda anauogopa mtaa? Umasikini unatisha sana, kijana kataa ndoa. Huyu mdomo wake na gubu ndiyo vinamponza, sasa mkisikia break news kuhusu mwanamke aliyetolewa meno mjue ni  huyu ndugu yangu ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  5. JamiiForums Tanzania Atakaye kuumiza ni yule aliyepo hapo kwa kusaidiwa na uliye msulubu.

    Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda. Kosa hilo alipata kulifanya mfu mmoja na majibu yake ni bayana ndiyo yaliyo sababisha yaliyomo. Hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Darwin Nunez na Antony dos Santos ni wachezaji wa paundi milioni ishirini kila mmoja na siyo zaidi ya hapo

    Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile. Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez kweli ulipe Euro 75m na Antony ulipe Euro 95m? Madrid walimnunua Toni Kroos kwa Euro 25m.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna atakayethubutu kuikemea Ofisi ya Msajili wa Vyama hasa Naibu mbele ya Rais hapo kesho?

    Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  9. JamiiForums Tanzania Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

    Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
  10. JamiiForums Tanzania 'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

    Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
  13. JamiiForums Tanzania Wafalme wawili duniani. Unadhani nani alishinda hapo?

  14. JamiiForums Tanzania Hapo mchoraji tumpe alama ngapi?

  15. JamiiForums Tanzania Naiona Super Cup ya Yanga vs Mamelod Sundowns hapo mwakani

    Kwanza kabisa kama ikiwapendeza FIFA kwa mwaka huu World Cup isifanyike maana wananchi washamaliza burudani yote. Hivi tutarajie kuona nini kingine kutoka kwa kina Messi, Neymar, Mane, De Bruyne ambacho hatukukiona jana pale Tunisia? Nitajie kimoja tu? Twende kwenye mada husika. Nimeangalia...
  16. JamiiForums Tanzania Je, mlitumia hoja gani kumpeleka mtu mwenye elimu ndogo Bungeni?

    Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge? Vigezo viwe: ~ Mtu msomi aliye na Degree Safi kutoka katika chuo kizuri na sio lasaba au form four au...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali endeleeni kuichekea hii hatari hadi hapo Simba watakapotafuna mmoja

    Naelezwa hiyo Park yenye wanyama wakali wakiwemo Simba ipo huko Kilimanjaro na inafanya biashara hasa ya utalii wa picha na kwalo hujipatia kipato jambo ambalo ni jema. Lakini ipo siku Simba hao wanyama watamtafuna mtu nawaambia na hapo ndipo utaona Serikali ikitoa tamko la kuifungia. Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
  19. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa kwa Tume ya Ushindani Tanzania FCC kulimulika swala la uwekezaji wa Mo Dewji Simba

    Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu. Tume ya ushindani unapaswa sasa kuingilia kati hili suala la uwekezaji la huyu bwana, maana inavyoonekana mazingira yake ni ya...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga ikifikia hapo, Tanzania tutakuwa masupastaa

    Simba hoyeeee, Yanga ni makopo. Kama kawaida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…