Handeni is a town located in the Handeni Urban District, Tanga Region, Tanzania. It is the capital of both Handeni Town Council and Handeni District. The 2012 national census estimated the population of Handeni Town Council at 79,056.
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama
Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini.
Salum atachuana na wagombea wengine watano.
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na uchunguzi uliofanyika, ulibainika kuwa ni wa Benard Wilson Masaka, Mgogo (43), Mfanyabiashara wa nyama...
Shamba linapatikana Kijiji cha Kwa Msangazi, Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga.
Shamba lina rutuba ya kutosha halihitaji mbolea ya aina yoyote ile kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara, halikadhalika linafaa kwa shughuli za ufugaji.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 16 na kila Ekari moja inauzwa...
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga, baadhi ya wagombea waliyojitokeza wameeleza kuridhishwa na maandalizi yaliyofanywa na chama katika wilaya hiyo.
Zoezi hilo...
MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI
Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii:
Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
Anonymous
Thread
handeni
kuhusu
malalamiko
taratibu
tozo
wafanyabiashara
wilaya
WANANCHI WA WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA WAIPONGEZA REA KWA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA KWA BEI YA RUZUKU
📌REA yaendelea na usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya Handeni mkoani Tanga.
📌Mitungi ya gesi ya kilo sita 26,040 kusambazwa mkoani...
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.
Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa...
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.
Akizungumza na wanahabari...
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.
Akizungumza na...
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm
Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo...
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za Afya Katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni tangu ilipokamilika na kuanza kutoa huduma.
Waziri...
Hapo zamani wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni na vijiji vyake walilazimika kwenda Tanga mjini hospitali ya Bombo au kwenda Muhimbili Daresalaam kwaajili ya huduma za kibingwa, lakini kwa uwekezaji uliofanywa na Rais Samia kwenye afya, shida hizo zimetatuliwa.
Hawa ni baadhi ya wakazi...
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa.
Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
Wakuu,
Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea.
Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani.
Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.