Hanang District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Mbulu District and Babati Rural District, to the southeast by the Dodoma Region and to the southwest by the Singida Region. Mount Hanang is located within the boundaries of the district.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Hanang District was 205,133. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Hanang District was 275,990.The District Commissioner of the Hanang District is Moses B. Sanga.
Mgombea ubunge Jimbo la Hanang kupitia CCM, Asia Halamga amesema wema alioufanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Dk Samia Suluhu kwa wananchi wa Hanang utaishi milele.
Ila uchawa umefika kiwango kisichokubalika! CCM tayari wameshakusanya bilioni 100, basi michango mingine hiyo ni gani tena?
Uchawa huu mwingie hauna tija yoyote. Ingekuwa bora kama pesa hizo zingeelekezwa kwa wale wenye uhitaji maalum
===============
Chifu wa Wilaya ya Hanang Jemsi Gejaru...
Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang, bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine.
Hivyo basi serikali tumeni wataalamu waje wafanye uchunguzi.Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
Serikali ilianzisha uzalishaji wa ngano toka mashamba ya Hanang' Complex Mkoani Manyara na uzalishaji ulikuwa mkubwa sana. Serikali ilipoanza ubinafsishaji mashamba haya yaliuzwa kwa bei ya kutupwa.
Wengi wa wafanyabiashara waliouziwa mashamba haya hawayaendelezi na mengi yamebaki kama...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting.
Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekamilisha na kukabidhi rasmi nyumba 109 kwa familia zilizoathirika na maporomoko ya tope yaliyotokea mwezi Desemba mwaka 2023, wilayani Hanang, mkoani Manyara. Makabidhiano hayo yalifanyika tarehe 20 Desemba 2024, ikiwa ni hitimisho la juhudi za mwaka...
Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo.
Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania
Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara
Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara.
Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY.
Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la ubadhirifu kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe?
Pia soma
Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa
Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara.
Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
Salaam, Shalom!!!
Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani.
Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi.
Ninaiomba...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi Sh.Milioni 20 kwa Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe.Jenista Mhagama kutoka kwa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mkoa na Halmashauri zote nchini kwa ajili ya waathirika wa...
WAZIRI Jenista Mhagama AWASHUKURU PPRA KWA MISAADA YA WASHIRIKI WA MAAFA HANANG'
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Ununuzi na Udhubuti wa Umma (PPRA) kwa kutambua na kuungana na Serikali...
Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara.
Akikabidhi msaada huo...
Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
Anonymous
Thread
afya
hanang
malipo
mkubwa
upigaji
wahanga
watumishi
watumishi wa afya
Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni.
Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang
SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.