hana

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

    Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana. Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

    Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe. Piga mateke ngumi...
  3. JamiiForums Tanzania Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli

    Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana. Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo CCM Bernard Membe ametudanganya hana ushawishi mkubwa ndani ya chama, hasira ya CCM ni juu ya wahamiaji.

    Ni dhahiri mh Bernard Membe ametudanganya kuwa ana ushawishi mkubwa ndani CCM jambo ambalo sio kweli. Utulivu ulio ndani ya Chama unatia mashaka na kutufanya wengi tujiulize maswali hiki kinachoitwa team Membe ndani ya CCM kiko wapi? Au ni kwamba wamempuuza? Mbona hatuoni mgawanyiko wa chama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ama kwa hakika "Mtu Mlafi" hana kaburi

    MLAFI HANA KABURI (Greedy has no tomb) Yaani hata sielewi nianzie wapi na nimalizie wapi maana muongo huu wa 2020 umekuja na mengi mazito yasotabirika utadhani mwali kashika mimba ya kwanza. Aso na macho haambiwi tazama maana matukio ya mwaka huu sii ya kuhadithiwa - Tulikuwepo na bado tupo...
  7. JamiiForums Tanzania Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalam wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

    Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

    Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu. Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu. Chama...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Shamsa Kombo mke wa Babu Tale hana kwao? Mbona kazikwa ukweni jamani?

    Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo? Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake? Au ndio mila za kisiasa kujiita Mrs abeche ndio umeukataa ukoo na kwenu? Au ni yatima au kwao hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

    Wasalaam wana jamvi! Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake! Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia ya kumuoa yule mama ambaye roli lake lilizama mto wami kama hana mme: Bila mume makini mama atapata tabu

    Wanawake wenye uthubutu wako wengi Sana! Ni Jambo jema; Na yote hayo yamepelekewa na sisi wanaume kutowatimizia mahitaji yao ipasavyo! Huyo mama anaonekana Ni miongoni mwa wapambanaji Biashara Ni VITA ya kiuchumi! Hupaswi kuingia mzimamzima kizembe Utapigwa KNO moja (noki Auti) na usirudi tena...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Mwamba hana lolote, asiwapoteze Maboya wenye nia thabiti ya kumchallenge Uncle

    Huyu Mwamba, Benard Camilius Membe, huyu jamaa akiwa foreign Minister, kijana aliyekulia ndani ya kitengo, akiwa na mabilioni ya Gaddafi na maconnection kibao ndani hadi kwa Mabeberu, alitumia almost miaka mitano ya mwisho ya utawala wa J.K kujiandaa kuukwa Urais wa Jamhuri lakini hata kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

    Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo. Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Msigwa hana personal Attack japo hana mvuto ana hoja za msingi zimejibiwa kwa hoja na kwa kina

    NIMEMSIKILIZA SANA MSIGWA NA HOJA ZAKE ZA KUTAPATAPA ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI AKITANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS 2020. Nashukuru kuwa ameanza kwa kutambua jitihada za serikali ya CCM kuwa kuna mambo yamefanywa na CCM, japo kwa kubeza. Hii inadhihirisha ile kauli ya mmbunge Mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye Mbowe tunayeambiwa kuwa alilewa chakari akabiringika kwenye ngazi ila hana jeraha lingine zaidi ya kifundoni alipovunjika

    Siandiki mengi ila najua mnaelewa kuwa mtu aliyelewa kisha akaanguka bila break hadi akavunjika kifundo cha mguu (Sijui alikuwa kavaa high hills?) Anakuwa katika hali gani hasa usoni na kichwani (Au labda alikuwa kavaa helmet). Kama Mbowe alikuwa kalewa chakarii basi bila shaka alibiringika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa nilimpima akawa hana ngoma. Leo najuta kufanya naye bila Condom

    Huyu dada ni mzuri kwa sura na umbo, amenyimwa akili hilo ndilo ambalo limeutesa moyo wangu sana, kufanya mapenzi direct connection na mwanamke ambaye hana akili ni sawa tu na kupata ngoma kwake. Ni siku 34 exactly toka tumegegedana. Jana akanipigia simu kuwa ana mimba yangu nikashtuka kidogo...
  18. JamiiForums Tanzania Masikini hana rafiki...

    Urafiki wa kibinadamu unakuwepo pale panapokuwa na sababu maalumu, na hasa pale upande mmoja unaponufaika zaidi kutokana na uwepo wako. Ni vigumu kwa mtu choka mbaya, asiyekuwa na maono n.k kupata rafiki. Na hii inapelekea, asilimia kubwa ya urafiki kuwa wa kimaslai tukipendana kiunafiki, huku...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kama mwanao aliumwa Covid-19? Ulijuaje na wewe hukubaliani na vipimo na upimaji ulishasitishwa? Kama alipona ulijuaje hana virus? Confusion!

    Hotuba ya Magufuli ilikuwa ya hovyo, very controversial and contradictory...Nimeshangazwa na jinsi alivyokuwa akijichanganya. Mwanzo Upimaji nchini Tanzania ulisimamishwa kwa kisingizio kuwa wakipima wengi wanakuwa positive...Je mtoto wake rais ni katika hao False positive, kama rais anaamini...
  20. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

    Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube. Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku. Ya Rais Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…