hana

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga achia ngazi

    Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

    angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu. Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

    Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
  4. JamiiForums Tanzania Sho Madjozi kuachana na Muziki baada ya kuachia albamu ya 3, adai Wamarekani walitaka kumbadilisha na hana hiyo energy tena

    Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema itakuwa ya mwisho. Madjozi ambaye mwaka 2020 alisaini Mkataba na Lebo ya Epic Records ya Marekani...
  5. JamiiForums Tanzania Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

    Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Khamis Mbeto Khamis hana haki ya kutupangia njia ya kutumia kupinga Sheria mbovu

    MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU. Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika nchi hii, pia kuwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu, kila pale ambapo tumewaita kuja...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

    Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake?? Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini?? Je...
  9. JamiiForums Tanzania Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

    TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY. . 🏟 β€” 76 Mechi βœ… β€” 27 Ushindi 🀝 β€” 22 Sare ❎ β€” 27 Vipigo ⚽ β€” 82 Magoli ya kufunga πŸ₯… β€” 68 Magoli ya kufungwa 🚫 β€” 31 Clean Sheet OFFICIAL: Yanga SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

    Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo? Au katengwa Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo Mpaka alikuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru kwa kukutwa hana hatia

    Nimekutana na taarifa zinadai kuwa Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru na kurudi mtaani baada ya kukutwa hana hatia kwani Wanawake wale aliokuwa akifanya nao ngono kwenye zile video zaidi ya 400 ni watu wazima na walionekana kuwa wameridhia kufanya na kurekodiwa. Aidha vipimo vilionesha hana...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

    Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo. Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500. Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  15. JamiiForums Tanzania Jamaa alichokikuta Honeymoon hana furaha kabisa...

    Tumeozesha majuzi tu Sasa leo tunamwuliza bwana Harusi vipi honeymoon umeserereka mpaka mwisho? Ila jamaa hana furaha kabisa Ametutumia picha hii
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

    JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa. Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanawake hawana faida yeyote kwa wanaume uzeeni

    Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe mwanaume endelea kukataa kuoa FAINALI NI UZEENI pia wanawadanganya vijana wa kiume kuwa mwanaume akizeeka...
  18. JamiiForums Tanzania Trump asema hana matatizo ya akili au uelewa na kuitisha mtihani kwa wagombea

    Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani. Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo." Trump...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wazo la nani, Taifa stars kuwa na kocha hana International or local games experience kabisa??

    I will be short 1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that?? Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON he did the same. 2. Who hired a manager who has 0 achievements in the local league? not a single...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo hana msaada kwa Nay Wa Mitego?

    Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…