halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Ummy Mwalimu kupunguza idadi ya idara ndani ya Halmashauri nchini ili kupunguza matumizi na kuongeza ufanisi

    Mh. Waziri Ummy Mwalimu. Pamoja na jitihada zako za kupambana na tamisemi, ni vema sasa ukapunguza idadi ya idara zilizopo ndani ya Halmashauri na kuongeza vitengo zaidi ilu kupunguza matumizi na kuongeza utendaji. Mfano, kuunganisha idara ya elimu msingi na elimu secondary kuwa idàra moja ya...
  2. CCM: Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa

    Mazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo Juni 22, 2021 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center. TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 22, 201 ameongoza...
  3. Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

    Salaam! HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na...
  4. M

    Maafisa Utumishi wanaleta utani juu ya Watumishi kupanda madaraja, angalia kinachoendelea baadhi ya Halmashauri

    Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala...
  5. Mbeya: RC Juma Homera amsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Chunya, Edward Andendekisye

    MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba wa halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh. milioni 400. MKUU wa Mkoa wa...
  6. R

    Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  7. L

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  8. DED wa Kyerwa ni tatizo kwa Watumishi

    Wapendwa habari za muda huu? Nimeona niandike uzi huu nikiwa na masikitiko kuhusu huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera aitwaye Shedrack Mhagama. Huyu mheshimiwa amekuwa ni tatizo kwa watumishi wanaofanya kazi katika Halmashauri yake ambayo siyo kongwe sana...
  9. E

    Mtumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Kibondo anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapa, afanyeje?

    Wana bodi hebu saidieni, Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
  10. D

    TARURA na halmashauri huu wakati wa jua utumieni kusawazisha barabara na stendi mbovu; msisubiri mvua

    Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope! Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze! Waziri...
  11. TAMISEMI toeni vibali Halmashauri ziajiri walimu na manesi

    Huu ni ushauri wa bure. TAMISEMI shughulikieni matatizo ya msingi sio kujipa makazi mengi msiyoweza kuyamaliza. Toeni vibali Halmashauri ziajiri waalimu na watumishi wa afya kisha taarifa zao zitumwe huko kwenu/DODOMA. Halmashauri zina wasomi wa kila aina hivi kweli hawawezi kuajiri waalimu...
  12. K

    Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  13. Rais Samia usipangue Wakurugenzi wa Halmashauri, ile ni nafasi ya utumishi wa umma

    Mwaka 2015 Magufuli alipoingia madarakani alipanua wigo wa uteuzi na kuapisha. Tulishuhudia akiteua waliokuwa makada wa CCM zaidi ya 200 na kuwapa nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri (DED) na wengine wakiwa na DAS ( maafisa tawala wa wilaya). Na kisha akawaapisha. Hii ilipelekea ma DED wengi...
  14. N

    Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
  15. Rais Samia angalia Wakurugenzi wa Halmashauri wana kiburi cha awamu ya tano

    Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu. Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake. Watumishi kwake ni kama vikaragosi. Kwa ufupi kama haijatosha itakuja kutosha. Niliwashawahi...
  16. Dereva wa Mashua/Vivuko Daraja la II Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

    POST: DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko Kuchunga usalama wa abiria...
  17. Halmashauri ya Rungwe: Katika upandishaji madaraja, Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisa

    Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy. Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao...
  18. TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani Vigogo wa Halmashauri ya Shinyanga

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
  19. J

    Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

    Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600. Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri. Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini. https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
  20. Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo . Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…