Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19.
Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui.
Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu.
Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
Halima James Mdee (@halimamdee)
“Gwajima hapaswi kuonekana mtakatifu. Kwenye uchaguzi wa Kawe 2020 alibariki uhuni, ameawatukana viongozi na waumini wa Kanisa Katoliki hadharani, akawavunjia heshima Waislamu pia. Huyu ni mtu wa kutafuta umaarufu, si mkweli. Apuuzwe.”
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Ndugai alipigania haki za wabunge 19 waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais...
Pamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
Hawa mabinti ni marafiki hawana
Iko hivi
1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema
2 Safari ya kuitwa COVID 19
Ndugai alivotaka uwakilishi wa wanawake wa chadema hawakuachana, walikuwa wote kwenye genge la COVID 19
3 Kuhamia CCM tena
Leo...
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua...
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia...
Halima Mdee akichangia kwenye Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa malalamiko yake kwa Waziri Deogratius Ndejembi akisemea migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe.
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.
Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari.
Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na Jambo TV Ado, amesema kuwatengeneza baadhi ya hao...
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee amesema ataenda kumuangalia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu gerezani licha ya mambo yaliyojitokeza baina yake na chama hicho.
Akizungumza akiwa jijini Dodoma jana, Mdee ambaye yeye na wenzake 18 walitimuliwa katika chama...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee halimamdee amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA ChademaTz na ACTwazalendo kuhusu kudai reforms kuwa ni sahihi na zina uzito mkubwa.
Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuhusu kudai reforms kuwa zina uzito mkubwa.
Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!
Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.