hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  2. R

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
  3. Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
  4. Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  5. Mnaojua kusoma Body language leo mama alikuwa kati hali gani?

    Mtuekeze nyie mnaojua kusama lugha ya mwili. Huyu mama alikuwa katika hali gani?
  6. H

    Elite Home Tuition Services – Tanzania Nzima, Karibu tukuhudumie kwa ubora wa hali ya juu

    Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania. Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi. ✔ Masomo ya sayansi na arts ✔ Mitihani ya NECTA, Cambridge, na IB ✔ Pia tunatoa huduma za tuition kwa watoto wenye uelewa mdogo Wasiliana...
  7. Hii hali wadau ndio inaitwaje kitaalamu?

    Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?.. Na Dem hata sina .
  8. Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  9. Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

    Habari Tanzania ! Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini? Inauma sana. Karibu
  10. PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  11. U

    GE2025 Ansbert Ngurumo: Ilikuwa lazima tuue watu ili kuhalalisha Urais wa Samia? Maneno mawili tu yatatuliza hali sasa: Poleni na Tumekosea!

    https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs 1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa? 2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
  12. M

    Maria Sarungi aeleza hali ya mauaji ya kutisha yaliyotokea nchini

    Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu. Msikilize hapa. https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
  13. Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  14. GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

    MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu. 2. Saa moja unusu nilikuwa nje kijiwe ninapokaaga siku ya jumapili(offday) lakini siku hiyo ya jumatano...
  15. M

    Day 5: Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

    Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar 1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi 2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi 3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya...
  16. GE2025 Hali ya Arusha ni tete kutokana na maandamano

    Habarini Wakuu, Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto Pia Wamechoma magari nane mpaka sasa...
  17. Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia

    Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia leo ndio leo tunataka nchi yetu.
  18. R

    GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  19. GE2025 Kwa tulioshuhudia chaguzi za vyama vingi toka 1995 hadi sasa Hali ya uchaguzi 2025 ni tulivu sana

    So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025. Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu. Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
  20. Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…