hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    hizi siasa za kutuaminisha eti mnakopa ma trioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kujifanya hamuoni hali zetu sisi tuliozingatia kitabu kama mlivyotuagiza ni uzandiki mtupu. Leo hii tunaonekana kama mizigo kwa wazazi na ndugu nyie mko bize kulumbana kisa uchu wa madaraka, tunakoelekea...
  2. Utoto hutegemea hali ya uchumi, hali ya uchumi ikiwa ngumu utoto huisha mapema

    Hali ya uchumi ikiwa nzuri kunakuwa na mpishi wa kupika na mtoto huitwa chakula kikiwa tayari. Anakua na michezo ya kuchezea na nguo zinazohitajika kwa wakati, mfano za kukalia, za shule, za ibada nk. Elimu ndiyo imetoa nafasi kwa watoto wengi kupata muda wa kufaidi utoto wao wawapo shuleni...
  3. J

    Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

    WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI === Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
  4. Hali ya Ukame nchini

    Wakuu hali ni mbaya hasa hapa Dodoma,jua ni kali mnoo.wakulima wapo njia panda,hawaelewi kabisa. Matumaini ya mvua kunyesha yanazid kuyeyuka mithili ya barafu. Mbaya Zaid Serikali ipo kimya,haitoi taarifa wala muelekeo hasa kukabiliana na balaa la njaa ambalo linatishia usalama wa taifa mwaka...
  5. mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

    habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
  6. Hali ya Covid19 nchini Mwetu

    Tumeambiwa wachezaji (13) wa Simba wanaumwa mafua na kukohoa pamoja na vifua posbly ni Covid19 Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake u20 wamekutikana na Covid19 ni 16 Zitto kabwe amekutwa na Covid19 Kocha wa Yanga ,Mohammad Nabi,nae amethibitisha kuwepo wagonjwa kambini mwake Watu dar...
  7. Japo tumechelewa serikali ipige marufuku safari za mwisho wa mwaka kwa hali ilivyo sasa

    Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa. Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron. Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
  8. Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

    Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
  9. Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  10. P

    Magari Makubwa yasiruhusiwe kuingia Kariakoo

    Sio siri kwa kweli, kuwaondoa wamachinga walio wengi kariakoo na kuruhusu wachache wenye biashara za usafirishaji kutumia barabara na kuwazuia watumiaji wengine kwa namna watakavyo ni uonevu wa hali ya juu, Malori yana athari kubwa kariakoo kuliko wamachinga, Yanaharibu barabara, yanazuia...
  11. Kwanini wachungaji wengi wa kisabato wana hali za kawaida kifedha

    Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha. Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara...
  12. Hali ya barabara Dar ikoje?

    Wakuu mvua imenyesha usiku kucha tupeane Hali halisi barabarani na ili tuchukue hatua. Jangwani kuna hali gani?
  13. M

    Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  14. K

    Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

    Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora . Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
  15. T

    Mzee Mangula ni moja watu waliojaliwa kipaji cha hali ya juu cha uongozi, ni hazina

    Tofauti na wazee wengine ambao wakifikia umri kama alionao nao mzee Mangula akili huwa zinashindwa kufanya kazi vizuri lakini kwa huyu MTU sivyo kabisa. Siku zote ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa katika kuzungumza kwake licha ya umri alionao tungeshuhudia vituko vingi katika maneno yake...
  16. S

    Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

    Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
  17. Sababu za kweli kabisa za kupanda kwa bei ya mafuta

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imethiri pia bei za mafuta ha Tanzania. Tumekuwekea sababu 5 zinazoweza kupelekea kupanda kwa bei hizo duniani: 1. Ushawishi wa OPEC OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo...
  18. H

    Makampuni ya simu naona sasa hali tete yaani hadi SMS sasa zinafuatiliwa

    You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS. Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau. Kifurushi chenyewe iko hapo. Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
  19. Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
  20. Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

    Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja. Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…