hali mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei inasemekana yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
  2. A

    KERO Walimu tulioajiriwa chini ya Mradi wa GPE-TSP unaosimamiwa na TAMISEMI tuna hali mbaya kimaslahi, hatujalipwa

    Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025. Walimu wapatao 544 tuliripoti kwa awamu ya kwanza katika vituo tulivyopangiwa, na kuanza majukumu...
  3. Just Pray

    SGR hali mbaya, imeanza kuzidiwa abiria kama mwendokasi tu

    Tanzania ni sehemu pekee ambapo biashara inaweza kufa kutokana na uwepo wa wateja wengi. Kama hali ilivyo kwenye mabasi ya mwendokasi, ndicho kinachoonekana hapa SGR.
  4. baz kaiza

    GE2025 Baada ya Oktoba 29 naona hali ikizidi kuwa mbaya zaidi kwenye Nchi ya Watu milion 65 ikiwa hatatokea Mtu akasema hapana imetosha

    Kama mpaka sasa kampeni zinaendelea mtu yuko anaomba kura lakini bado police wanaangaika na watu ambao hawana Impact yoyote kama wakina Niffer binti anayecheza Tiktok anapewa kesi nzito za uongo. Je baada ya uchaguzi ali itakuaje...
  5. A

    KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia. Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
  6. Hammer11

    Kijana niko Dar natafuta kazi

    Kijana niko dar natafuta mishe mimi sichaguii kazi ni kazi hata shamba nakaaa namba yangu 0685059306 mwenye kibarua tusaidiane na mungu awabariki sana
  7. Parabolic

    Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar

    Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
  8. JOHNGERVAS

    Vyombo vya habari Vya Tanzania vina hali mbaya, Vinasikitisha waandishi wamegeuka wapambe

    Katika siku za karibuni, kumeibuka hali ya kusikitisha sana katika tasnia ya habari nchini Tanzania. Vyombo vingi vya habari ambavyo viliheshimika kwa kuandika kwa ujasiri na ukweli, sasa vinaonekana kama vimelegeza msimamo. Habari muhimu zinazogusa maslahi ya wananchi, hasa zile zinazokinzana...
  9. PLOII

    Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  10. Komeo Lachuma

    Ayatollah Ali Khamenei ana hali mbaya, na baadhi ya viongozi wa Jeshi hawaaminiki

    Hali ya Khayatollah inasikitisha wanasema sukari inamsumbua na presha. Mwenyewe anasema amechoka kuishi maisha kama dikdik. Kwa sasa wanamwamisha kwenye maandaki kila baada ya muda mfupi ili kukwepa kushambuliwa. Na ulinzi wake unabadilishwa badilishwa maana wanasema kuna Mayahudi katikati yao...
  11. BigTall

    Daraja linalounganisha Mtaa wa Muungano na Goba lina hali mbaya na hakuna kinachofanyika

    Hili ni Daraja lipo katika Kata ya Mkonze, Mtaa wa Muungano Jijini Dodoma linaunganisha Mtaa wa Muungano na Goba lakini kwa muda mrefu lipo hivyo linavyoonekana hapa kwenye picha. Yaani vyombo vyote vya usafiri na hata waenda kwa miguu wanapita pembeni kama inavyoonyesha katika picha, juzi kati...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Mashirika mengi ya umma watumishi wana hali mbaya, yet wanagawa gawio kwa serikali

    Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe? Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
  13. Saoka

    Ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili

    Habari ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili Kuna ndugu yetu kuvunjika mbavu ametoka mkoani hatuna mwelekeo kabisa msaada ndugu zangu tafadhali 🙏 Pm kwa mawasiliano tafadhalini nawaomba muongozo mwenye kujua jmn
  14. Mindyou

    Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  15. JanguKamaJangu

    KERO Stendi ya Daladala Makumbusho ipo kwenye hali mbaya, inazidi kuchoka, Ushuru unatozwa lakini hakuna ukarabati

    Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo iliyokuwanao awali, ambapo kwa sasa imechakaa na imekuwa kero kwetu madeleva wa daladala. Licha ya daladala...
  16. R

    Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  17. Tauceti Rigel

    Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
  18. K

    KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
Back
Top Bottom