halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  2. O

    Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  3. U

    PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  4. Bullshit

    Kwanini kubet inaoneka haram lakini kununua hisa halali

    Kusema ukweli mimi napenda kubet zaidi na nimependzi wa kubet magoli. Vile vile mimi Nani is hisa, ila hisa ndo ilianza kitambo kabla ya kubet ila kubet napenda sana kuliko kununua hisa. Shida inakujua ukimwambia mtu una bet anaona unafanya jambo la ajabu yaan anakushangaa kwanini una bet ila...
  5. Genius Man

    Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali

    Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali. Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
  6. Kv-london

    Msichana anaomba kazi yoyote halali

    Habar wapendwa Kuna huyu dada angu ana miaka 25 Elimu kidato cha one Amesomea utalii ngazi ya certificate Anaomba muamsaidie kazi yoyote halali ambayo anaweza kujiingizia kipato Anapatikana moshi kilimanjaro Anaweza kufanya kazi mahali popote yupo tayar Mawasiliano+255760119470
  7. Genius Man

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  8. Waufukweni

    Sheikh Khalfani: Ukiletewa chakula na Mkristo siku ya Christmas ni halali kukila, wala usiache hakuna kasoro yoyote

    Maneno ya Sheikh Uwesu Khalfani, Mwenyekiti wa BAKWATA Mkoa wa Kigoma, na pia mjumbe wa Kamati ya Mwezi ya Kanda ya Magharibi.
  9. OLS

    Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  10. DMmasi

    Mnyang'anyi na matendo halali

    Salam Tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga, naam uko msemo wa mtaani unasema "mwizi akiibiwa anaumia zaidi ya mtafutaji halali" labda ni sahihi sababu njia anayotumia kujitafutia ameshaibariki kama tendo halali la kujipatia umiliki. Wanyang'anyi, ndio hawa kwa matendo yao na ukwapuzi wao...
  11. R

    PostGE2025 RPC Mbeya: Msishawishiwe kushiriki maandamno yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga, ametoa wito kwa Vijana wanaojihusisha na shughuli za bodaboda kutojihusisha au kushawishiwa kuingia kwenye maandamano yasiyo halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo vinaweza kuhatarisha amani, usalama na ustawi wa maeneo yao. Amesema jeshi...
  12. R

    PostGE2025 Wakili Madeleka: Kesi ya Mange siyo halali ni kinyume na sheria

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana kwamba siyo halali akibainisha sheria ya uhujumu uchumi sura ya 200 huwezi kumshataki mtu ambaye...
  13. Tajiri wa kinyankole

    Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  14. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  15. PAYE

    GE2025 Ezekiel Wenje: Kupiga Kura siyo suala la Vyama vya Siasa ila ni la Kikatiba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
  16. PAYE

    GE2025 SACP Richard Abwao: Wananchi puuzeni wito wa maandamano yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
  17. stakehigh

    Mwenye nacho huongezewa asie kua nacho ata kile kidogo ni halali kukichukua

    japo sio watu wengi wana uelewa sana wa crypto ila huyu mzee amefanya kilicho kibaya sana wiki hii, binafsi kama 40% ya mtaji mzima umeenda, ni sahihi kabisa kumrushia mashtaka huyu mwamba
  18. Jaws

    Nahitaji Microsoft 365/Office ya Halali kwa Haraka

    Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops). Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP. Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye...
  19. Farolito

    Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  20. Damaso

    Kikubwa upate pesa ya halali hata kama inabidi kujitoa akili

    Baba kaenda kazini, alisema akirudi atarudi na zawadi yangu. Kikubwa ni kazi hata kama inakubidi kujitoa akili. Neno moja kwa Mpambanaji
Back
Top Bottom