hakika

Mwanga Hakika Bank (MHB), whose official name is Mwanga Hakika Bank Limited, is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator.

View More On Wikipedia.org
  1. Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

    Hii mtaani tusema "Utaoga lakini mjini huendi" Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi Tuna...
  2. A

    WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

    Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria? Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
  3. Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  4. Hakika wema ni akiba

    Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua. Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
  5. Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  6. Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

    Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu. Lakini kabla ya yote...
  7. Viongozi wa TLS Mwanza wajiuzulu, Mwabukusi atoa tamko

    Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia. Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe ==== Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
  8. T

    Hakika Chama Kimekomaa

    Baada ya kelele za kutosha..wote wanaoitakia mema CHADEMA tuseme..Let the Will of God be Done! Asante.
  9. D

    Kwanini tusikubali kwamba tumeshindwa na hivyo tukampa nchi Elon musk atuongoze vyema. Hakika tutafika mbali.

    Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi. Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka. Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa yote kabisa. Tukse palee tutulie mwanaume akiwa kazini.
  10. K

    Wanaharakati njooni Tena tuikomboe nchi hakika tunaangamia

    Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA ulifaulu kwa 80% Chini ya ukatibu wa Dr wa mihogo kulipatikana kina ZItto kina Juliana Shonza kina...
  11. Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  12. Kocha hatuna wanetu, kocha hatuna hakika hatuna kocha viongozi wetu hawajielewi

    Amani iwe nanyi ndugu Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu Wanetu hatuna kocha
  13. Hakika huu ni uwekezaji rahisi kuwahi kutokea

    Habari gani wakuu? Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa yangu. Kiukweli kwa hili tuna kila sababu ya kuwapa kongole Vodacom mana tunaweza kuwekeza kuanzia...
  14. LGE2024 Freeman Mbowe: Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania. Tunalaani mauaji na...
  15. LGE2024 Mapokezi ya Mbowe Kijiji cha Ndato, hakika Makao Makuu ya CHADEMA yawe Mbeya. Kumbe Chadema haijafa

    Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi...
  16. Kweli Mike Tyson ndio wa kukosa hii hook, hakika ile match ilikuwa stage play

    Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo akiwa kwenye stretcher. Na ukicheki vzr mike alifake punch dogo akaidefend kisha akamuachia access...
  17. Q

    Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

    Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster. Mwamba akalala mazima. Ooh...
  18. Hakika: Tafuta raha, shida zinakuja zenyewe

    Kuishi kwingi ni kuona mengi Watoto na vijana wanaambiwa, nyinyi mna mbio, lakini sisi wazee twazijua njia Ni hivi mjukuu wangu, upatapo chochote kitu, mega sehemu ndogo jipe raha, kama wewe ni mzee wa pombe, jimiminie balimi zako baridi kabisa upate na mdudu laaana kidogo ukapumzike na mpenzi...
  19. Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  20. D

    CHEKI: Kwa hakika Magaidi ya Hezbollah yalijiandaa

    (Hii ni kambi Moja tu) (Na mlengwa alikuwa Israel) ( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel) Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea kusimama naye. Hiyo mitambo imeshateketezwa sehemu kubwa sana kwa uwezo wa Israel.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…