haki

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, usijifanye hujaona mahojiano ya Rose Muhando akilituhumu jeshi la polisi na serikali. Mtendeeni haki, washughulikieni watesi wake

    Sina mengi, Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada. Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Clinical officers wanafanya kazi kubwa sana kunusuru Maisha ya watu, kumlipa laki 6 ambayo ni sawa na Tsh elfu 20 kwa siku tena hapo bado makato sio haki hata kidogo. Tukianza na sekondari, huyu alilipa ada kubwa tofauti na wanafunzi wengine wanaosoma michepuo ya biashara na sanaa. Pia...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi Tusifumbie macho mambo haya! Mwisho wake huchangia ukatili wa kinyama (kuna wajibu, haki na sheria)

    Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali! Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo! Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele! Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo! Nilikatiza popote...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lindi wacharuka wadai haki kwa Vitendo

    Hii clip inajieleza: Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna vyombo Tanzania vinavyotetea haki za vibarua (deiwaka) ambao hawana mkataba?

    Habarini wakuu, Naombeni msaada kujibiwa swali hili Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali. Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

    Wanabodi, Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  9. JamiiForums Tanzania Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

    Habar wadau najua humu kuna watu BIGGER THINKER mtanishauri vyema jana ndo nimeamini dunian hakuna haki dunia hii ione hvhv tambala bovu duh !!!! namshukuru mungu sikuumia sana japo nilipata uvimbe sehemu ya taya kwa nje kwenye shavu hii ni baada ya kupigwa na chupa nne za kichwa duh haya maisha...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa. Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
  12. JamiiForums Tanzania Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Desemba 10 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu, ikiwa ni Siku ya kukumbuka kupitishwa Azimio la #HakiZaBinadamu Duniani. Azimio hilo linaweka msisitizo kwenye Haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali Rangi, Dini, Jinsia, Lugha, Maoni ya Kisiasa, Asili ya Kitaifa...
  13. JamiiForums Tanzania Haki ya Utawala bora, Viongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu, madaraka ya Urais, mfumo wa uteuzi wa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi

    Chachu na kasi kubwa ya maendeleo huendana na mfumo thabiti wa kuitawala katika serikali. Mfumo bora wa kiutawala huleta msisimko kwa watendaji, watumishi na wananchi kujitoa kwa dhati kuleta maendeleo katika taifa letu. Kwa mtazamo wangu, watanzania tumekuwa na mtazamo kuwa miaka mitano katika...
  14. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maslahi ya nchi na haki za wananchi alizosimamia Hayati Rais John Pombe Magufuli

    HAYA NDIYO MASLAHI YA NCHI NA HAKI ZA WANANCHI ALIZOSIMAMIA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI Leo 15:15hrs 06/12/2021 Rais John Magufuli katika Awamu ya tano,kwa kutekeleza usimamizi wa maslahi ya nchi na haki za Wananchi ni kama aliingia vitani,tuliona maadui mbali katika sura ya "Kigogo" "Chahali" na...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA msitake kupata huruma kwa kulihusisha JWTZ na uhalifu wa watuhumiwa walioachishwa kazi huko nyuma. Pambaneni mahakamani ili kupata haki

    Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa. Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
  16. JamiiForums Tanzania Ubaguzi katika kazi maalumu za NECTA (usimamizi na usahihishaji): Haki haitendeki ngazi za Wilaya

    Habarini ndg zangu, Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Miito ya Haki Kutendeka inaposikika Mahakamani

    Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani. Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo: Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa mheshimiwa Jaji katika namna ya kupigiwa mfano. Kudos Lembrus Mchome umetuwakilisha wengi kwani...
  18. JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

    Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?

    Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi. Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki. Kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

    Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…