haki

  1. JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Jihadhari na Upatu, ukidhurumiwa hutopata haki yako

    JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO. Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi kuwarubuni wengine wajiunge katika mpango huo wanaounadi kwamba ni uwekezaji wenye faida kubwa ndani ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ningependa uutendee haki uvaaji wako kama Spika wa Bunge

    Wewe ni kiongozi wa muhimili wa Bunge. Wewe ni mbunge wa Mbeya mjini na mama wa familia, binafsi ninakuheshimu na nina amini⁷ kadhalika na Watanzania wote. Mungu amekujaalia umbo zuri ambalo wanawake wengi wanalitamani kwani wamegundua unene ni mateso. Natamani upate tu mtaalam wa mavazi...
  6. JamiiForums Tanzania Haki ya kumuona Mtoto baada ya kuachana au kutengana na mzazi mwenzako

    Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa. Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi tumejisahau tubadilikee?

    Tazama; Tunashuhudia matukio ya kikatili yakiendelea hapa nchini, picha toka mtandaoni ya mwanafunzi aliyechomwa mikono. Tumeshuhudia idadi kubwa ya vijana kupotea ama kufanyiwa ukatili ama kuondolewa baadhi ya viungo vyao sababu ya pesa, Tumeshuhudia kesi za ubakaji na ulawiti wa watoto...
  8. JamiiForums Tanzania RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  9. JamiiForums Tanzania Haki ya usawa wa kikatiba

    HAKI YA USAWA WA KIKATIBA. Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema binadamu wote ni sawa na kiila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Kila mtu anayo haki ya kupata heshima na thamani inayostahili utu wake. Ibara ya 13 inasema watu wote ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO "Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja." Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Haki Itendeke; Hili la Mbowe TCRA wafungieni gazeti la Mwananchi kama mlivyofanya kwa Kwanza TV

    Kwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko ccm HAKI ITENDEKE, ACHENI DOUBLE STANDARD kilichofanya kwanza tv ikala rungu hiki hapa, bwana Joseph...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Biometriki inazingatia na kuheshimu Haki ya Faragha?

    Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika. Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  14. JamiiForums Tanzania Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
  15. JamiiForums Tanzania Haki ya usawa na kutobaguliwa kwa watu wenye ulemavu

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika...
  16. JamiiForums Tanzania Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Taarifa: Nini Nafasi ya Watunga Sera, Mahakama na Asasi za Kiraia?

    NAFASI YA WATUNGA SERA: 1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa 2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa 3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu ASASI ZA...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu ana Haki ya kupata Ulinzi wa Taarifa zake

    Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu. Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

    Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable." Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human rights are enforceable." Tunataka Katiba Mpya. Ni haki yetu. Haki hupiganiwa. Hatuwezi kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…