haki

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Janga la Barabara Tabata, mtaa wa NSSF

    Hali ya barabara katika mitaa yetu ya TABATA (NSSF) sasa imefika hatua ambayo si kero tena, bali ni janga la miundombinu linalohatarisha usalama, afya, na uchumi wa kila mkazi. Kama picha zinavyoonyesha, barabara ambazo ilipaswa kuwa kiunganishi cha familia zetu zimegeuka kuwa mashimo ya maji...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Kisare: Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki, haiwezekani

    Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja. "Haki...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini. Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
  4. JamiiForums Tanzania Haki za mtoto bado kitendawili Shinyanga

    LICHA ya kuwapo kwa maofisa wa Serikali wenye dhamana ya kulinda ustawi wa watoto kikatiba, kisheria na kisera, idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi mkoani Shinyanga inaendelea kuwa kubwa. Uchunguzi wa Nipashe uliofanyika kwa takriban miezi mitatu umebaini kuwa watoto...
  5. JamiiForums Tanzania Nguchiro na haki hawapatani

    "Africa inasalia kuwa bara pekee duniani ambapo kiwango kikubwa cha wanaharakati na wanasiasa wenye 'unguchiro' wanadai haki, ilihali wao wenyewe wanashindwa kuitekeleza misingi hiyo. Ni taswira ya bara ambalo tabaka hilo linapenda kukosoa kila jambo (kwa matusi na dhihaka), likitumia uhuru wa...
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Kipi muhimu Haki au Amani?

    Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa tutafute aani kwani kukiwa na amani unaweza kupata kila kitu Mimi ni nafanya kazi ya kutoa amani...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla sijapona vizuri, hapa hospitali wananiambia nirudi nyumbani. Hii kweli haki wajameni?

  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi ungekuwa wa Haki tusingekuwa na tume za michongo hivi

    Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa. Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo imeundwa kitaalamu na kuzungatia jamii zetu zote na uchumi. Uchumi inahitaji uwekezaji na uwekezaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndio maana ikawekwa siku ya hukumu ili kutolewa haki zilizonyimwa duniani

    Katika mafundisho ya Qur’an, Siku ya Hukumu (Yawm al-Qiyāmah) ni siku ya mwisho ambapo haki kamili ya Allah itadhihirika kwa ukamilifu usio na mfano. Moja ya hekima kubwa ya siku hii ni kuonyesha Al-‘Adl, yaani haki ya Allah iliyo kamili, isiyo na upendeleo wala kosa. Allah anasema: “Na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  12. JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ripoti ya tume ya haki - Jaji Chande

    MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchi na taasisi zao nchini. Kamati hiyo imewahakikishia...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini ndiye msemaji wa masuala ya haki za binadamu bila woga kimataifa, kama Mwalimu Nyerere

    Tumepata Rais toka Afrika, Rais Cyril Ramaphosa ambaye kama Mwalimu Kambarage Nyerere, anayeweza kuongea kimataifa juu ya haki, na watu wakamwelewa.
  15. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kitila: Duniani kote haki inapiganiwa, inahitaji ujasiri

    Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo "Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao, wapo katika nchi huru na ni haki yao kutoa maoni. Lakini duniani kote, haki huwa inapiganiwa. Kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inarudisha nyumba ukanda mzima kwenye haki (Kenya -Africa kusini)

    Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu. Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri...
  18. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema haki kwanza wapo wapi?

    Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya Iran ?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Chanzo cha maji mradi wa Irujamate ulizunduliwa 2016 miaka 17 leo maji hayafika vijiji vya jirani, hii siyo haki

    Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…