haki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 2095 wote hatutokuwepo, tupendane

    Ninaomba niende moja kwa moja, hatuna budi kumtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo. Ninauhakika ww unayesoma UJUMBE huu, unaye comment, UJUMBE huu, unayedai haki, unayedai amani, mwaka 2095 wengi hatutakuwepo, hivyo tukiwa duniani tuishi Kwa upendo, kuvumiliana, kusikilizana, kuheshimiana, Kwan...
  2. JamiiForums Tanzania HAKI ni neno geni lenye ukakasi, je dhamira yake ni nini?

    Mungu ni mmoja hayupo mfano wake,nguvu yake ni kuu hakuna wa kuisambaratisha na duniani kuna sura mbili unaweza kuchagua mwenge au bichwa je,ni njia gani utaitumia kupata matokeo unayoyataka? Mahubiri ya haki siyo jambo geni katika vichwa vyetu wapo wanazuoni Kama akina aristotle na Plato,Weber...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unajiuliza nini kimetokea! 1. Askofu Pissa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki). 2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara. 3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tukiwa Hai,tutende mema na kwa Haki ili Tuache Alama NJEMA!

    Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari sana juu ya uhai na hatima yetu kama Binadamu,uwe muumini wa Dini au huna Imani! Mimi ni muumini wa uwepo wa Mungu na nitanukuu maandiko kama ninavyoamini. Nimevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda,8baada ya Hayonimwekewa taji ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wenye Hekima Wanaongea Kuhusu Haki, Machawa Wanaongea Kuhusu Amani Bila Haki.

    Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa umetatua matokeo yake. Wasio na akili wala maarifa, wao hutazama matokeo. Watabakia kuhangaika na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania vuguvugu la haki , Lisipoe, Tulitumiee kupata KATIBA MPYA

    Kama ni Sufuria ya Ugali imebandikwa, Maji Kwa Sasa yameanza Kuchemka . Ni sisi wa Kuamua, Je tukoroge Uji kwanza ndio tusonge Ugali au Tuweke Unga tuendelee kusonga. Kwangu Mimi nashauri Tuweke Unga tuendelee Kusonga Ugali . Tukiacha VUGUVUGU hili likapoa, Basi haitotokea Tena muda ambao...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

    Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haki na Amani ni kitu kimoja

    kwa sasa hoja kubwa nchini ni HAKI kwanza kabla ya Amani, mimi ninakubaliana na hilo popote pale kama hakuna haki automatic Amani haipo. Wana falsafa wote enzi za kale walihubiri Haki kisha Amani. Koran na Biblia mitume wote wilihubiria Amani . Sisi waislam dhana muhimu kabisa ni HAKI na vivyo...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chadema wanahamasisha Uhuru na Haki ya kupiga kura,CCM wanahamasisha kificho cha wizi kura

    Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
  11. JamiiForums Tanzania Haki na Amani Vina Msigano wa Asili

    Wakuu, Heri Ya Ufufuko Wa Roho, Mwili, Na Nafsi Kutenda Haki kunaweza kuleta Amani au Kinyume chake kwa sababu hivi vitu viwili vinathibitisha nguvu ya kila kimoja. 1. Ukitenda haki unaweza kuleta amani au vurugu kutokana na aina au kiwango chakuridhika kwa upande kinzani 2. Ukidai uwepo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Wanatetewa Haki Zao Lakini Wanaenda Kumkamata Mtetezi Wao

    Polisi uitwa Jeshi la kulinda watu na mali zao, lakini jeshi letu hili la polisi limekuwa ni jeshi la kulinda wanasiasa na familia zao. Hakuna watu nchi hii wanaogopa kupoteza kazi kama polisi na walimu, hususani polisi ndio kabisaa na wengi maisha yao ni Duni. Polisi ndio taaluma pekee...
  14. JamiiForums Tanzania Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  15. JamiiForums Tanzania Hongereni TEC Kwa Tamko lenu , HAKI HAKI HAKI ndio msingi wa Amani, Mkipuuzwa, Itisheni Maandamano, Mimi ni Msabato, ila Nitawaunga Mkono !

    Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
  16. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya AMANI imeanza kumalizwa nguvu baada ya watu kuuliza na HAKI je?

    Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania. Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu. Hata...
  18. JamiiForums Tanzania Huduma za Magereza: Haki, taratibu na miongozo ya Wafungwa na Mahabusu Nchini Tanzania

    UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili hatimaye watoke gerezani wakiwa raia wema. Katika kutekeleza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wapenda haki wengine.

    Wakati umefika tuache UNAFIKI. Ebu fikiri, Tundu Lissu alipigwa risasi kwa sababu tu alikuwa anatetea haki. Leo yupo mahabusu kwa kubambikwa kesi ya uhaini kwa sababu tu ya kutetea Haki. Ikiwa Tundu Lissu alimwaga damu yake kwa kutetea Haki, kwa nini sisi tunaogopa kujitoa sadaka damu zetu...
  20. JamiiForums Tanzania Maaskofu walilia haki na uvumilivu uchaguzi mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…