haki

  1. JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Rais Samia kuogopa uchaguzi huru na wa haki

    Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la taifa ni T 107.7 na bado ni stahimilivu. •Umeleta 4R na umezitekeleza Kwa vitendo ukishirikiana na...
  2. JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  3. JamiiForums Tanzania Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

    Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia. Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo. Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa. Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia. Iran haijatenda kosa...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

    Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna matumaini makubwa ya haki na msingi ya demokrasia kuzingatiwa

    Akizungumza katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, Mwenyekiti wa chama hicho Dorothy Semu amesema, "Kwa mwaka mwengine tena tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna matumaini makubwa ya haki na msingi ya demokrasia kuzingatiwa. Tumeamua kuingia kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hata mnilishe nishibe tumbo, mnilaze pazuri na mnipe mahela yote, mkinyima haki ya kuongea na kuwakosoa manjisumbua tu!

    Ndivyo wanavyotufanyia hawa watawala. Wanajifanya wametufanyia mambo mazuri lakini wapi bhana. Mei Mosi walipandisha mishahara ya kima cha chini kwani kuna mtu amenyamaza kuwasema kwa wanavyomtenda TAL. Wamezindua madaraja na mavivuko lukiki kwani kuna watu wanasahau Gwajima aliyoyasema...
  8. JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
  10. JamiiForums Tanzania Prophet Denis: Matusi kwa rais Samia hayaleti haki tunayo itaka, bali ni kuchukua laana

    Kumtukana rais aisaidii, kuna kijana sasa hivi anapigana hatima anandoto ya kuwa mtu wa maana halafu sasa hivi anaenda mtandaoni, akiona tu picha ya Rais Samia anamtukana akiwa tu kwenye simu yake, yeye akiamini kwamba kwenye simu yupo salama, hajui kwenye ulimwengu wa roho unarekodi kila kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  12. JamiiForums Tanzania Unajua ni Kwanini wapigania haki duniani kote huishia kupewa kesi za uchochezi? Hizi ndio sababu.

    Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni: 1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka. – Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu. – Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo. 2...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama kuuwawa mbele ya kadamnasi kutasaidia sauti ya wataka haki kusikika, mimi nitafanya hivyo!

    Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uhuru na haki ya kikatiba ya kuandamana kenya inawaangamiza gen z wenyewe?

    Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae zitakarabatiwa kwa kodi zao wenyewe? Wasipojitahimini kwa kina na kutumia hekima na busara kuwasilisha na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye maandamano ya GenZ wa kenya kuna matukio ya wizi pia, Duka la Smoothers limeporwa

    Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanganyika wote wapenda haki: Tum - support Tundu Lissu na CHADEMA kwa kujitoa sadaka/dhabihu kwa ajili ya wokovu/ukombozi wa sisi sote

    Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  19. R

    JamiiForums Tanzania “10 Basic Rights of Accused Persons in Criminal Proceedings” Je Lissu anazipata haki hizi? katika kesi ya Uhaini?

    “10 Basic Rights of Accused Persons in Criminal Proceedings” Drafted by Dr. Markus Englerth 1. Presumption of Innocence Criminal proceedings which start from a presumption of guilt and put the onus to prove one’s innocence on the accused are inherently unfair. It is not by accident that...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…