haki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tulisimamishwa na kuondolewa kazini NSSF kinyume cha Sheria, hatukutendewa haki

    Tukiwa Watumishi wa NSSF, tulisimamishwa kazi na kisha kufukuzwa kabisa bila Sheria kufuatwa, lakini ajabu ni kwamba wapo wenzetu ambao na wao walikuwa na makosa kaka sisi tuliofukuzwa lakini hawakusimamishwa, wamepata ajira za kudumu. Sisi tupo nyumbani kwa karibia miaka miwili sasa, tulikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  6. JamiiForums Tanzania CCM na Ukatili wa Kimfumo: Taifa Linalozama Katika Giza la Haki Kukanyagwa, Raia Kudhalilishwa na Demokrasia Kugeuzwa Kichekesho

    TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Liberia waandamana wakidai Haki, Ajira na uwajibikaji kutoka kwa Serikali yao ya Rais Joseph Boakai

    Mamia ya raia wa Liberia waliandamana jijini Monrovia wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Mulbah Morlu, Wakitaka serikali ya Rais Joseph Boakai kuwajibika kwa ahadi za kampeni na maisha bora waliyohahidiwa tangu alipoingia madarakani mwaka jana Waandamanaji walilalamikia kupoteza ajira...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  9. JamiiForums Tanzania Watibeli tunaapa kwa Mungu pekee na haki; hatunaga kiapo kingine. Ukifuata Haki tutakulinda na kukutetea.

    Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui Mkurugenzi. Hatunaga cha sijui Rais, sijui Rais, sijui Waziri. Hatunaga cha Sijui kamanda wa jeshi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

    Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
  11. JamiiForums Tanzania Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rostam: Kisutu, viongozi wakipiga simu hupati haki

    Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam Aziz, Mbunge wa Igunga 1994-2011, Katibu uchumi na fedha CCM 2005-2007, na Mjumbe wa kamati kuu CCM...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Balozi pole pole; "uchaguzi ukiwa huru na haki CCM ijiandae kukabidhi ikulu"

    Wasalaam. Kujiuzulu ubalozi kwa aliekua balozi wa Tanzania nchini Cuba hakujaja kwa bahati mbaya, kwani ni mara kadhaa hapo nyuma mzalendo huyu amekua akikionya chama chake ccm juu ya kuheshimu misingi ya democrasia na utawala bora. Lakini CCM ni kama sikio la kufa halisikii dawa kiasi wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanafanya watu wawachukie sana watu wanaojipendekeza kwa watu dhalimu. Mrisho Mpoto kapatwa na ujumbe mzito

    Ona alichojibiwa CHAWA kindakindaki Mrisho Mpoto
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama: Hakikisha Uchaguzi wa mwaka huu unakuacha bila ngeu. Usibaki na ulemavu au kesi mahakamani kisa Uchaguzi

    Wakuu, Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba Uchaguzi wa mwaka huu hauwaachi wakiwa walemavu au wakiwa na kesi mahakamani Hakikisha Uchaguzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…