haki

  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho

    Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho. Wananchi ndio wanauwezo wa kumpa kazi mtu yoyote awe rais na ndio wana uwezo wa kutengua raisi sasa kama wakimkataa ataongoza wakina nani ? D25...
  2. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja. Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
  3. JamiiForums Tanzania Haki ni kama ng’ombe wa maziwa na amani ni kama maziwa!

    Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri haki, kwasababu haki ikitamalaki amani itapatikana automatically, more or less. Analogically...
  4. JamiiForums Tanzania Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

    Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki. Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale, Zaidi utasikia Uislamu...
  5. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Uvira huko DRC wanahitaji m23 kubakia hapo Kwa kuwa wanatenda haki kuliko serikali

    Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni Hii ni ajabu Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia, awamu isiyotaka kusikia neno haki

    Wako tayari wakuue wanapokusikia unataka haki. Wao wanaamini Amani ndio kila kitu lakini si kukupa HAKI. Wanalinda AMANI kwa kuua hata raia ambao hawataki viongozi wabaya. Wanalinda AMANI kwa kufukuza au kuhamisha wafanyakazi wanaopinga upigaji ndani ya miradi ya maendeleo. Wako radhi WAUE mji...
  7. JamiiForums Tanzania Heri tukose haki, hewa, na maji lakini tuwe na amani

    Wengi wanawalaumu bure watawala wetu kwa kusisitiza amani bila haki. Wanawalaumu watawala bure kwa kushindwa kutatua matatizo ya kijamii kama vile upatikanaji wa maji. Wanawalaumu kwa kutunyima haki lakini wakatupa amani huku tukisota na wao wakiishi kwa amani. Tunababana kwenye misururu...
  8. JamiiForums Tanzania Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

    Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
  9. JamiiForums Tanzania Wanahabari IKULU mtendeeni haki Rais Samia, hata kama hampendi, si anawalipa vizuri?

    Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU, Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  12. JamiiForums Tanzania Uliwahi kujiuliza nini kitatokea wanaharakati na wapigania Haki wakiungana na watawala?

    ULIWAHI KUJIULIZA NINI KITATOKEA WANAHARAKATI NA WAPIGANIA HAKI WAKIUNGANA NA WATAWALA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wanaharakati na wapigania Haki wanafanana kwa mambo mengi Sana na Watawala. Tofauti iliyopo ni upande tuu. 2. Ni kama Shetani na Malaika. Wanafanana karibu Kila kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali: Utumishi wasizuie vijana wanaoomba ajira kwenda kwenye usaili kisa hawajalipia leseni, hiyo sio Haki

    Mpo Salama! 1. Kuna baadhi ya Kada kama Kada ya afya wanatakiwa kuwa na Leseni. 2. Kuna waomba ajira zaidi ya mmoja walinitumia ujumbe ili niufikishe huku wakiomba Msaada wa serikali katika changamoto ya kuomba ajira kupitia mfumo wa Ajira portal 3. Vijana hao wote ni Clinical Officers ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uhalisia wa mitandao Tanzania: Namna 'Jeshi la amani kwanza' linavyozima hoja za haki

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  17. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
  19. JamiiForums Tanzania Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

    Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…