haki za watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

    Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo hasa kwa watoto wakiume Akizungumza kwa hisia kali kwenye mkutano wa hadhara...
  2. Ms Billionaire

    Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

    Habari wadau. Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri? Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka mitatu, wazee wasiojiweza na hata wagonjwa walio pooza. Wanalawiti wanawake kwa wanaume bila huruma...
  3. Shining Light

    Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  4. Msanii

    Waziri Gwajima, kuna haki za watoto zinakiukwa wazi wazi. Hatua za kuwanusuru zinahitajika

    Mhe. Waziri mama Dkt. Gwajima D hongera kwa majukumu. Hoja yangu ni fupi. Katika vibanda vya kusubiria abiria wanaotumia vivuko pale Kivukoni na Kigamboni kuna Watanzania wenzetu walioamua kuwa ombaomba ili wapate pesa za kujikimu. Pamoja na kwamba wanaomba pale kwa muda mrefu, lakini sasa...
  5. H

    SoC03 Tusimame kwenye nafasi zetu katika malezi ya watoto, ajira kwa watoto ni ukiukwaji wa haki za watoto

    UTANGULIZI. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
  6. R

    Ni sababu zipi zinafanya umfungulie mtoto akaunti kwenye mitandao ya kijamii?

    Habari Wakuu, Naamini wengi sio wageni na akaunti za watoto kwenye mitandao ya kijamii kama vile Instagram, Facebook, TikTok na kadhalika. Akaunti hizi zinazofunguliwa na wazazi/walezi zimekuwa zikisimamiwa na wazazi wenyewe mara nyingi, na mara chache mtoto anaachiwa kuendesha account hiyo...
  7. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aingilia taarifa za Madereva wa School Bus kudaiwa kunajisi Watoto

    Wilaya ya Kinondoni imeanzisha utaratibu wa kuweka Matron katika gari za kubeba wanafunzi, kutokana na kuibuka kwa vitendo vya ubakaji kwa watoto vinavyodaiwa kufanywa na madereva. Mkuu wa Wilaya hiyo, Godwin Gondwe amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa wazazi na walezi, wakidai watoto...
  8. Sema Tanzania

    Ujue Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watoto (UNCRC)

    Mara nyingi mafanikio ya mtu mzima ni zao la malezi bora ya utotoni, mazingira sanjari na jamii inayomzunguka. Endapo wazazi ama walezi watafanya jitihada za dhati za kumjenga na kumuandaa mtoto ili kusudi awe raia makini na anayejitambua basi mchango wa mtu huyu kwa maendeleo ya jamii utakuwa...
Back
Top Bottom