haki za binadamu

  1. Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  2. J

    Uhusiano wa Utawala Bora na Haki za Binadamu

    Utawala bora na haki za binadamu ni mambo yanayokwenda kwa pamoja. Hii ni kutokana na ukweli kamba ukiukwaji wa misingi ya utawala bora unasababisha uvunjaji wa haki za binadamu; na uzingatiaji wa misingi ya utawala bora unasaidia ulinzi na hifadhi ya haki za binadamu. Jedwali lifuatalo...
  3. Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  4. SoC01 Haki za binadamu

    HAKI ZA BINADAMU Utangulizi Mnamo Desemba 10, 1948, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha Azimio la Haki za Binadamu (UDHR), likitangaza haki zisizoweza kutolewa ambazo wanadamu wote wanastahili, bila kujali rangi, rangi, jinsia, lugha, dini, siasa au maoni mengine. , asili ya kitaifa au...
  5. Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  6. Wanaharakati wa haki za binadamu, wasaidieni waliodhalilishwa kwa kupigwa hadharani na viongozi wa umma

    Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya. Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata. Vitendo hivi...
  7. R

    Ikiwa Uhuru na Haki za Binadamu tayari vinazingatiwa kwa kiasi fulani, mengine tutarekebisha taratibu

    Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa Rais Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia. 1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika kutakucha salama? 2. Kwa kiasi fulani haki za Binadamu zinazingatiwa ingawa bado kuna kazi kubwa ya...
  8. M

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  9. Mahusiano ya Tanzania na mahakama ya haki za binadamu Afrika yaendelea kuimarika

    The Diplomat Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote. Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
  10. Rais Samia akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

  11. L

    Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  12. Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  13. Waandishi wa hababari wamekuwa wabaguzi kuripoti habari za uvunjifu wa haki za binadamu. Ila wao yakiwakuta ndio midomo juu

    Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
  14. Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

  15. Shirika la haki za binadamu Tanzania, kuna haja ya kujipambanua

    Mimi Sio Mataga. Wasalaam ndugu zangu. Shirika la haki za binadamu ni muhimu sana hasa kwa nchi zinazokua na zenye demokrasia changa kama Tanzania Tanzania kumekua na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu; unafanywa na taasisi za serikali kwa sehemu kubwa pamoja na taasisi binafsi. Kwahiyo...
  16. Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu

    Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kwa kutumia suala la janga la corona kuwakandamiza wapinzani. Kulingana na ripoti iliyotolewa na...
  17. Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  18. Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

    Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense? Unaposema mtakomaa ili...
  19. M

    Tuzo ya Demokrasia na Utetezi wa Haki za Binadamu aliyotunukiwa Tundu Lissu iwe neema kwa chama

    Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
  20. Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

    Umoja wa Ulaya (European Union) imetangaza kukatiza msaada wake kwa nchi ya Burundi kutokana na kile ilitaja kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…