Inaumiza sana! Ndugu wa waliotekwa waeleza wanayopitia hadi sasa na kupeleka ujumbe kwa Rais Samia

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
269
702
Katika mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi.

Watu kadhaa waliokutana na chagamato ya ndugu zao kutekwa na kutokujulikana walipa walipata nafasi ya kueleza kila kitu tangu ndugu zao walivyopote hadi leo.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

Kiukweli unaumiza sana wengine wa mama wanaeleza mateso wanayopitia tangu waume zao kutoweka kusikojulikana (Kutekwa na watu wasiojulikana).
 
Raisi Samia akicheza hiki ndicho kitakacho fanya watu waingie mitaani akicheza soon
 
Back
Top Bottom