haki sawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Wadaawa wa KIIRAQW wapata nafasi ya kusikilizwa kwa lugha yao, Baraza la Ardhi Dodoma latoa tumaini la haki sawa

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma. Hatua...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  3. Davidmmarista

    Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

    Wadau habari, Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili? Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia...
  4. jamaikatz

    Dunia ya leo ni mwendo wa haki sawa na kukomoana

    Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume. Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
  5. M

    Sheria ya Kiislamu kwenye ndoa ni kuwa na wake wanne na awatendee haki sawa na siyo Amani!

    Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani? Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Vita ya kupigania haki za kisiasa imezalisha maafa ya utekaji na mauaji ya kinyama. Serikali itoe haki sawa katika Siasa

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna haki za aina nyingi 2. Haki za kijamii, haki za kiuchumi, haki za kiutamaduni, haki za kisiasa, n.k. 3. Haki za kijamii ni pamoja na watu kupata haki za kupata elimu, huduma za afya, haki ya kwenda popote, haki ya kushiriki kwenye shughuli za kijamii...
  7. Just Pray

    Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  8. The Father of All

    Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    HAKI Sawa 50/50 ililetwa baada ya Wanaume wengi kuwa Wakatili na matapeli. Watibeli tunaunga Mkono

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki za Wanawake. Kusingekuwa na mambo ya women empowerment. Lakini baada ya wanaume wengi na Wala...
  10. Kiminyio 01

    Wafanyakazi wa ngono kupata haki swa kama wafanyakazi wengine ndani ya Ubelgiji

    Wafanyakazi wa ngono nchini Ubelgiji sasa wanapata ulinzi sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine kupitia sheria mpya ya kihistoria iliyopitishwa mwezi Mei mwaka huu na kuanza kutekelezwa siku ya Jumapili. Sheria hiyo inatoa haki za ajira rasmi, ikiwemo likizo ya uzazi, bima ya afya, posho za...
  11. G

    Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  12. J

    Kiukweli Dr Dorothy Gwajima amekuwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani kwa namna anavyowatetea Wananchi kwa haraka sana!

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani...
  13. dogman360

    Wanafunzi wa clinical medicine March intake Wanastahili Haki sawa na Wenzao wa Septemba!"

    Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa wanafunzi wa Machi kusubiri hadi Agosti ili kufanya mitihani yao ya supplementary wakati wenzao wa Septemba...
  14. Mhafidhina07

    Nimetamani sana ile dhana ya mfumo dume iendelee ili kunusuru kizazi cha baadaye

    Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine. Mwanzoni mwa miaka ya 70 kuna dhana nyingi zilianzishwa kitu ambacho kimepelekea kuleta vuguvugu la...
  15. CONTRARIAN

    Wanawake Elewekeni, Mnataka haki Sawa au Mnataka kuhudumiwa?

    Akijimudu, Anageuka MBABE, wakati huo huo chako anakihitaji. Akiona upenyo wa Mwanga mzuri, anageuka FEMINIST, anadai haki sawa. Kukiwa na shida lets Say ya kifamilia, ANAJITOA Anadai Baba ndio kichwa cha familia.. Akiwa na Shida private ambayo anona kabisa yeye mwenyewe ndio anapaswa...
  16. matunduizi

    Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  17. Intelligent businessman

    Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

    KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Ulimwengu wa Haki Sawa 50/50 hakuna kulipa Faini ukimpa Mwanamke mimba au mtoto

    ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
  19. Mcqueenen

    Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

    Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati. Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
  20. Lamzettttt

    Mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu lakini asili yao haitaki wafanane katika baadhi ya haki, majukumu, wajibu na adhabu

    Assalaam Alleykum. hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa. Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
Back
Top Bottom