habari

  1. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

    Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kiuno kukaza na maumivu ya mgongo

    Habari wadau nina tatizo unaenda mwaka sasa linanisumbua huu upande wa kulia kuna mabadaliko yani tatizo huwa linanianza ikifika mida ya jioni naanza kusikia maumivu upande kiuno kukaza mpaka maumivu ya mgongo. Sasa nilijaribu kwenda hospitali niliambiwa nina shida ya mawe kwenye figo ya kulia...
  3. JamiiForums Tanzania Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  4. JamiiForums Tanzania Putin & Trump wamejaa kwenye vichwa vya habari Leo!

    Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana. Matukio makubwa kama mkutano wa mawaziri wa ulinzi zaidi ya 30 wa nchi wanachama wa NATO, hotuba za viongizi wa nchi mbali mbali na maoni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  6. JamiiForums Tanzania Habari hii imenisikitisha sana

    Habari za kwenu Wana jamii.....!!! Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya mwisho yaliyo niacha na maswali kadhaa 1. Ni kweli kijana huyu mwenye umri mdogo, mke na mtoto Mmoja...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  8. JamiiForums Tanzania Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

    Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC

    .. ..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC. ..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao. ..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia...
  10. JamiiForums Tanzania Kosa la chasambi tumeliona game nzuri tumeshuhudia ila Mpanzu ni habari nyingine

    Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi..... kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dau kubwa lililowekwa na Belouzdad ndilo lililomuondoa Ramovich, naipongeza idara ya habari kuwadhibiti wapotoshaji

    Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka! Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna simulizi naitafuta humu. Title nimeisahau nakumbuka habari za mtunzi

    Wakuu napenda sana simulizi. Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu. Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi. Naomba ambaye anaifamu anitag nayo. Wasalaam
  15. JamiiForums Tanzania Habari ya kusikitisha: Gari la ‘mafao’ lilivyokatisha uhai wa mwalimu mstaafu na mwanawe

    Muktasari: Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake. Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
  16. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo February 04, 2025

  17. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo February 03, 2025

  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya LISSU, Fanyeni mnavyoweza, Kuutangazia na Kuusambazia Umma Habari za Utabiri wa SHEIKH YAHYA kuhusu UPINZAN KUCHUKUA NCHI !!

    Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin. Kwa wanaoona Mbali kama...
  19. JamiiForums Tanzania Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  20. JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 31, 2025

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…