Takribani watu 7,000 wanapoteza maisha yao kila saa, duniani. Takwimu hizi zinashtua, ila zinapaswa kutufanya tufikirie kwa kina kuhusu maisha yetu yajayo.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na Idara ya Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa (UN DESA). Sababu za vifo ni...