gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake

    Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake. Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa. Maombi yanaendelea kanisani kesho. Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.😂😂😂😂😂😂😂 Mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa. Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

    Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake. Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza...
  4. JamiiForums Tanzania Nionavyo Mimi Kuhusu Askofu Gwajima...

    Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka. Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii Huyu ni mtu wa system...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

    Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake. Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

    Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake. Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

    Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona --- Nahisi...
  9. JamiiForums Tanzania Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"

    Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Gwajima siyo Kibwetere ni mfuasi wa Kibwetere aliyenusurika

    Wafuasi wa Kibwetere wamegawanyika makundi mawili, wapo wanaotaka kujifanya wanathamini afya zao na kwamba Kibwetere ailiwapotosha au walijua kabisa kwamba Kibwetere anawapotosha lakini kwakuwa walimdharau Mungu wakamthamini Kibwetere Basi kila alichofanya walimpigia makofi. Alipowaambia wafunge...
  12. JamiiForums Tanzania CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

    Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria. Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama...
  13. JamiiForums Tanzania Nikimtizama Askofu Gwajima naona kitu hiki...

    Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote. Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa. Mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

    Wanabodi, Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!. Msikilize Waziri Gwajima Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?. Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

    Huyu waziri wetu wa afya huyu 🤣🤣 Hahaha nimeishia tu kumpenda aisee. She is special.
  16. JamiiForums Tanzania Gwajima anawakilisha lile kundi linalotaka kumkwamisha Mama kuongoza nchi, hili la Chanjo ni kisingizio tu

    Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kauli ya Hayati Magufuli kuhusu Chanjo inapotoshwa

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema kauli ya hayati Dk John Magufuli kuhusu chanjo inapotoshwa kwani hakusema watu wasichanje ila kuwe na umakini kutokimbilia chanjo bila kujiridhisha. Waziri Gwajima ameyasema hayo leo Jumatano Julai 29, 2021...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo. Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo. Askofu Gwajima amewataka wafuasi...
  19. JamiiForums Tanzania UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

    Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi, kwani si jambo geni humu na litaunganisha uzi na nyuzi zingine kama hizo. Mods Nakimbilia moja kwa moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…