gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ? Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Gwajima two mistakes kudharaiu mamlaka za Serikali na mamlaka za mbinguni, the bible is very clear,please taka radhi

    Wadau hamjamboni nyote? Gwajima it's not too late to ask for msamaha , .
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi: kanisa la Gwajima limefungiwa au halijafungiwa?

    The Citizen ni gazeti. Ni chombo cha habari kinachoaminika. Gazeti linasema kuwa kanisa hilo limefungiwa na Emmanuel Kihampa [should be Kidampa, honestly], ambaye ndo msajili sijui wa nini….Registrar of Civil Societies. So which is which? Kanisa limefungiwa [hata kama taratibu hazijafuatwa] au...
  4. JamiiForums Tanzania Mwamposa anaposifia viongozi wa serikali hajaingiza siasa kanisani, Ila Gwajima anapozungumza ukweli anaingiza siasa kanisani

    Huku ndipo serikali ilipofikia. Magufuli pamoja na ukali wake wote, pamoja na mvutano mkubwa baina ya wateule wake na Gwajima, hakuwahi kuthubutu kumfungia Kanisa.Unajua kwanini? Mahala ambapo neno la Mungu linahubiriwa, mahala ambapo watu wanapata huduma ya kiroho ni mahala ambapo hata kama si...
  5. JamiiForums Tanzania Gwajima akaidi wito wa Serikali wa kufungia Kanisa, Aendesha Mahubiri kama kawaida watu waalikwa Youtube Wengine Kanisani Jioni Hii

    Gwajima ameshea link ya mahubiri yake yanayoendelea kufanyika leo jioni licha ya serikali kufungia kanisa lake. Mahubiri hayo yamerushwa LIVE kupitia link hapo chini Jioni hii baada ya Mamlaka Kufungia kanisa lake https://www.youtube.com/live/g10-9yfylls?si=zRlpPOJivq1pOcJg Gwajima ambaye leo...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Akaunti zote za kanisa la Gwajima, na zile zake binafsi na za viongozi wote wa kanisa zigandishwe (frozen) ila kusubiri hatima

    Nashauri itolewe amri akaunti zote za kanisa, magari, vifaa vya kanisa, viwanja vyote vipigwe tanchi na viwekwe chini ya kabidhi wasii mkuu (Administrator General). Hii iende kwa akaunti za Bodi ya Wadhamini, wajumbe w Bodi hiyo, wachungaji, na viongozi wote wa kanisa hilo nchi nzima. Viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Kufungia Kanisa kwa Sababu ya Hoja za Gwajima? Taifa Linapotea Mwelekeo wa Haki na Uhuru

    Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima. Kisingizio? Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
  8. JamiiForums Tanzania Gwajima Mbwa Mjanja kamwe habwekei Uani kwa Adui bali hutafuta Kichaka chake cha mbali ili akibweka anajua akimbilie wapi

    Kinachonishangaza una Marafiki zako Mfumoni ila wameshindwa hata Kukushauri namna ya kufanya na umeingia 18 zao.
  9. JamiiForums Tanzania Kumekucha.....na najua sasa hivi Mwamposa na Mwacha huko waliko meno yote Kicheko tu kama Ngiri, kwani Masalia ya Gwajima yatahamia Kwao

    Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea. Chanzo: mwananchi_official Gwajima kama...
  10. JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa Gwajima

    Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

    Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.” Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu Gwajima?

    Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi. Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Dr. Josephath Gwajima hakukosea kuingia bungeni!

    Mwaka 2020 niliposikia Dr Gwajima anagombea ubunge, nilifikiri "kapotoka". Ningekuwa jimboni kwake kipindi hicho nisingempa kura yangu! Lakini sasa nimegundua nilikuwa nimekosea! Alikuwa sahihi sana! Kama si Gwajima kuingia bungeni, GWAJIMANIZATION ingetoka wapi? Naomba msamaha kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Laiti Gwajima na Rais Samia wangenyamaza

    Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani. Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Dotto Magari anamuogopa Askofu Gwajima

    Siku Dotto Magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu Kinondoni, dawa, utapeli utajulikana. Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
  19. JamiiForums Tanzania Gwajima asema "Wakiingiaga kwenye Upanga wake Huwa hawatoki ' awaomba Watanzania kesho kuhudhuria Kwa wingi kesi la LISSU!!

    Huyu Gwajima ni mzuri sana kushambulia akitokea Pembeni !!. Hapoi, hachoshi, haboi !!. Haiwezekan Watekaji wajiite Polisi, alafu Polisi hapohapo Wakane kua hawateki alafu mwisho Hatupewi Report yoyote kuhusu Utekaji Ni kama Polisi ( japo nao wanamaupuuzi mengi tu) wakifuatilia Suala la...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Kakobe hajihusishi na siasa tena?Je, yaliyomkuta yatamkuta na Gwajima?

    Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto. Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto. Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa libomolewe. Akaja kuachana na siasa na hataki kuisikia tena. Askofu Gwajima (sauti ya wengi)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…