gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  2. R

    JamiiForums Tanzania Eneo walilosalia Waumini wa Gwajima Jumapili hapakaliki, Polisi waweka kambi

    Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari...
  3. JamiiForums Tanzania K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

    Ni askofu akihudumia mkoa wa Arusha
  4. JamiiForums Tanzania PICHA: Wasukuma Mliokuwa na mashaka na Rais Samia Kwa Uanamke Wake Sasa Yeye Ndio Chief Wenu Mkuu Wasukuma Wote akiwemo Gwajima na Mpina

    Tazama, nasubiri kusikia Mpina na Gwajima wakiukana usukuma wao ila Mungu humpa chochote yoyote amtakaye. Hongera Mama Samia kipenzi Cha Wasukuma na Kanda yote ya ziwa. SAMIA MITANO TENA# Kwa taarifa tu, Hii fimbo inamaana ya Mamlaka ya juu kabisa - Kisukuma
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nadhani hata Mungu huwa anamshangaa Gwajima!

    "Muogope Mungu na Teknolojia" RUGE
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima ladai Polisi wameshikilia mali zao bila makabidhiano

    Mkuu wa Utawala na Fedha wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church - Ufufuo na Uzima, Askofu Baraka Thomas Tege amedai kuwa, tangu kanisa hilo lilipofungwa Juni 2, 2025 na hatimaye majengo ya yao kulindwa na Jeshi la Polisi nchi nzima, hakujawa na makabidhiano yoyote ya mali zikiwamo fedha za...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

    Jina: Josephat Mathias Gwajima Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970 Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza Uraia: Mtanzania Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima Watoto: Watatu Lugha: Kiswahili, Kiingereza Elimu 1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeanza kufanyia kazi kisiasa tuhuma za utekaji ambazo zilikuwa ni kilio cha watanzania wengi akiwemo gwajima

    Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi Wanachofanya kwa jicho la kawaida tu ni kiini macho na mbaya zaidi hii script wameshakosea tokea mwanza hata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Enyi CCM, kinachodaiwa na CHADEMA na ninyi kinawahusu. Wanachofanyiwa akina Mpina na Gwajima ni kwasabb ya ubovu wa katiba

    1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga. 2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

    Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari. Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti. Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na...
  11. JamiiForums Tanzania Dola yenye watu Wazalendo, Utimamu Bora wa Akili na Maono, Haiwezi Ruhusu Watu aina ya Mpina, Gwajima, Lissu, Heche wapotee Kwa manufaa ya Taifa !!.

    Hawa watu ni muhimu sana Kwa Manufaa ya Tanzania ya Leo na baadae , ni watu ambao Kanuni, Falsafa na Imani zao kuhusu Tanzania Bora zinapaswa kugeuza kua ITIKADI YA NCHI !!. Ni watu ambao ni Nadra sana kupatikana, katika wakati kila MTU amekua Chawa Chawa kiasi cha kupofusha viongozi wasione...
  12. JamiiForums Tanzania Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

    Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuiwa kuabudu kwa Tundu Lissu na kufungwa kwa kanisa la Gwajima kunamtia doa Rais Samia

    Huu ni utafiti wangu mdogo nilioufanya jana na leo,sikutegemea kama kesi ya Antipas Lissu ingefwatiliwa na watu wengi kiasi hiki. Leo wanaume kwa wake wanaijadili kauli ya Tundu lissu kwa nini azuiwe kuabudu? Ukitegemea lawama zote anatupiwa Rais wa inchi ambaye ni Muisilamu, haina tofauti na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kamateni Askofu Gwajima ila waumini waacheni waendelee kuabudu

    Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye barua kufungia kanisa la gwajima na bado wizara mnakana kuwa sio barua yenu

    Naanza kuwa na mashaka na mwenendo wa serikali ya ccm iliyopo madarakani. Inawezekana vipi barua ya kufungia kanisa wizara waka kanusha huku polisi wakizuia kanisa. Ina maana hii barua ni mtu au kikundi kwa sasa kama kutafakari kinaweza kuwa sio imani yake ndio maana kafanya haya...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugai kuhusu Gwajima alikuwa mbele ya muda?

    Wakuu nimekumbuka hili sekeseke “Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama Askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za Uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa Askofu halafu kama wenzako hawaelewi Dini sio hivyo hayo ni macho ya Makengeza Watu ni Waumini sana” “Mimi ni Mzee wa Kanisa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yakana kufungia Kanisa la Gwajima

    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo. "Baada ya kupitia barua hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Suala la kanisa kufungiwa linaniumiza moyo wangu

    Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura. Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

    GT Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi? Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni...
  20. JamiiForums Tanzania Muumini wa Askofu Gwajima akifanya maombi ndani ya gari la Polisi

    Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…