Google siku hizi imekuwa takataka. Wakati wanajaribu kuboresha ulinzi kwenye data za mtumiaji wa huduma zao kumbe ndiyo wanaharibu kabisa.
Simu yangu iliharibika, sasa account yangu ya GMail ndiyo ipo kwenye hiyo simu. Leo nimebadilisha simu lakini cha ajabu siwezi ku-access account yangu...