ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama kukata ghafla

    Habari wanajamvi. Kuna mama ana mtoto wa miezi 4 na amepatwa na hali ya ajabu maziwa ya kumnyonyesha mtoto yamekata ghafla. Hii hali inasababishwa na kitu gani maziwa ya mama yakate ghafla?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa FX traders, mmeona dollar ilivyoanguka ghafla?

    Aisee, leo dollar imeanguka ghafla kwa yeyote ambaye alikuwa ana trade pair yoyote yenye dollar iwe gold, au currency kama alicheza vizuri atakuwa amekula profit kinoma. Sijui ni tarriff za bwana trump au aje maana imeruka kinoma.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

    Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
  4. JamiiForums Tanzania Nimewaharau ghafla Tupac na P Diddy ni baada ya kugundua ni mabingwa wa sampling

    Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo Miaka kadhaa nilibaini P...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kukatishwa ghafla kwa Mkutano wa CCM, Makala aliwekewe majina "feki"

    Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa.... Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
  6. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ghafla nikaanza kucheka sana nikiwa usingizini.Nisaidieni kutafsiri

    Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Mambo vipi wadau? Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia...
  8. JamiiForums Tanzania Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?

    Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?? Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa Sijui wewe ?.....
  9. JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa kulala ghafla mchana hata kama ulilala masaa mengi usiku.

    Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu unaitwa, Narcolepsy. Huu ni ugonjwa wa usingizi wa mfumo wa neva unaosababisha mtu kulala ghafla wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanawake Ni Viumbe vya Ajabu? Na wanabadilika Ghafla?

    Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu? na kwa nn ni emotional creatures? Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia Na namna gan ya kuishi nao?
  11. JamiiForums Tanzania Maziwa ya Mama anaenyonyesha Kukata ghafla.

    Habari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote. Ila toka nimefika kule maziwa yaliacha kutoka ingawa nilikua najitahidi kukamua kamua. Nimerudi maziwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

    Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye? Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
  14. JamiiForums Tanzania Yupo course ghafla tu Kaninunia?

    Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana Je apo nifanyeje?
  15. JamiiForums Tanzania Kama ikitokea ghafla mwanadamu akapoteza uwezo wa kudanganya. Ni sekta ipi itaathirika vibaya mno?

  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfano Ghafla bin Vuu akatokea Rais ambaye si Mwanachadema wala si Mwanaccm, huko mbeleni itakuwaje?

    Wiki kadhaa nilisoma historia za Marais kadhaa wa Afrika baada ya kujiuliza maswali mengi kwanini Baadhi ya Marais waliopata Nafasi baada ya kupigania haki, uhuru na maendeleo kwa muda mrefu hadi leo wengi wao hawajatoka madarakani. Nikakumbuka nchi za magharibi mwa Afrika na hata afrika ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man Utd wamekasirika baada ya Sir Jim Ratcliffe kufanya uamuzi wa ghafla siku chache tu baada ya kupoteza fainali ya Europa League.

    Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Santuri ya Father Kitime imeondolewa ghafla, Sasa ni Haki za wakenya!

    Ni mwendo wa kutumia Kila fursa. Ukiona uchochezi huu imebuma, unakamata mwingine fasta!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…