geto

The Getae ( JEE-tee, GHEE-tee) or Gets ( JETS, GHETS; Ancient Greek: Γέται, singular Γέτης) were several Thracian tribes that once inhabited the regions to either side of the Lower Danube, in what is today northern Bulgaria and southern Romania. Both the singular form Get and plural Getae may be derived from a Greek exonym: the area was the hinterland of Greek colonies on the Black Sea coast, bringing the Getae into contact with the ancient Greeks from an early date. Although it is believed that the Getae were related to their westward neighbours, the Dacians, several scholars, especially in the Romanian historiography, posit that the Getae and the Dacians were the same people.

View More On Wikipedia.org
  1. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  3. Zinnob5

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata chumba Cha 20k Arusha

    Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
  4. Beberu

    JamiiForums Tanzania Zulia vs Kapeti, kipi kinafaa kwa geto?

    Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya? Zulia. Kapeti za manyoya
  5. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata... Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mabachela, Unasafisha Gheto mara ngapi kwa Mwezi?

    Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu. Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda gan ndo mfanyie usaf mageto?
  9. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

    Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani. Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hili geto unalijua?

    Hili geto kuna mida fulani kama ungefanikiwa kuingia ndani na kuiba, basi ungekuwa bilionea.
  11. runtown

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

    Habari wana jamvi, Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi. Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

    Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto) Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke" Tupeane maujanja ni vitu gani vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake...
Back
Top Bottom