gereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    KUMBUKIZI: Ahmed Khalfan Ghailani mtanzania wa kwanza kufungwa gereza la guantanamo kwa kesi ya ugaidi

    Mwamba aliazaliwa Machi 14 mwaka 1974 ni Mtanzania aliyekuwa na kesi ya kushiriki kwenye tukio la kigaidi la al-Qaeda aliyehukumiwa kwa jukumu lake kubwa katika ulipuaji wa balozi nchini Kenya na Tanzania. Alishtakiwa nchini Merika kama mshiriki katika milipuko ya mabomu ya ubalozi wa marekani...
  2. JanguKamaJangu

    R. Kelly achunguzwa akidaiwa kumiliki Namba ya zamani ya Mkuu wa Gereza ndani ya jela

    R. Kelly anachunguzwa na mamlaka za shirikisho baada ya nambari ya simu ya mkuu wa gereza aliyestaafu kupatikana katika daftari lake katika gereza la North Carolina. Mwimbaji huyo wa R&B aliyeporomoka sifa anatumikia vifungo virefu vya shirikisho baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu wa...
  3. S

    Hongera sana Tundu Lissu kwa kusimama imara ndani ya kuta za gereza kama Mandela, waliokuweka ndani watalipwa kupitia ICC

    Habari ndio hio kwa kifupi. Wakati wao ukifika, watatia huruma sana. Akichomoka kipindi hiki yuko madarakani, anaweza kuja kukabidhiwa ICC na mrithi wake kwa mshangao wa wengi kutokana na mashinikizo ya kimataifa au sababu nyinginezo. Muda utathibitisha.
  4. Mkalukungone Mwamba

    Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  5. The Palm Beach

    Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  6. T

    Tanzania ni gereza

    Watanzania Tunaishi ndani ya gereza kubwa lisilokuwa na kuta. Hakuna mtanzania aliye huru, sisi wote ni wafungwa wa kisiasa
  7. FEBIANI BABUYA

    Ukuta wa gereza

    STORY: MIAKA 15 NYUMA YA UKUTA WA GEREZA MWANDISHI: FEBIANI BABUYA WHATSAPP: +255621567672 EMAIL: thomasibabuya@gmail.com AGE 18+ UKURASA WA KWANZA MLANGO WA GIZA Kwenye kuta ambazo zilionekana kuchoka, hazikuwa zimepakwa rangi kwa muda mrefu lakini zilikuwa imara kwa sababu ya ubora wa ujenzi...
  8. U

    Breaking Wairan wailaani Serikali ya Ayatollah na kuifananisha nchi yao na gereza kubwa ambalo ndani yake hakuna umeme wala maji.

    VOICES FROM IRAN 'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out 2 hours ago Share Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages that upend daily life and fuel fury at the government. With temperatures topping 40°C in Tehran and...
  9. Tormenter

    Umri wako sio gereza, acha kujihukumu na ondoa hiyo fikra

    USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO... Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu— Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani. Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako...
  10. S

    Binadamu tupo gereza la akili halafu matatizo yapo huru

    Fundi samico nakueleza haya uyatambue. Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu. Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo refu utaona eneo pekee la...
  11. L

    Heri ya Pasaka: Furaha na Matumaini Huku Tukimkumbuka Tundu Lissu Gereza"

    Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! 🐣🙏
  12. Just Pray

    PreGE2025 Brenda Rupia: Taarifa rasmi Tundu Lissu amehamishiwa gereza la Ukonga, Heche anatarajiwa kufika Ukonga leo kwa ajili ya kumwona

    TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI WA CHAMA MHE. TUNDU LISSU YUPO GEREZA LA UKONGA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa mapema leo, tarehe 19 Aprili 2025, viongozi wakuu wa chama wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Tundu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Ndoa sio Gereza. Wanaosema Ndoa ni Gereza na ndoano ni wapotoshaji Wakubwa

    NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO. Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo. Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
  14. MBOKA NA NGAI

    Wafungwa watoroka Gereza huko Bukavu

    Miongoni wakiwa ni wale waliohukumiwa kifo juzi, baada ya M23 kuingia mjini Bukavu, walinzi wa gereza la Bukavu waliondoka zao na kuwaacha wafungwa, ambao pia waliona isiwe tabu, wakarudi kwanza uraiani. Wakati huo, jeshi la serikali liliamuwa kusambaza silaha mjini, na kila raia aliejisikia...
  15. Stuxnet

    Trump asaini executive order ya "Wahamiaji haramu kupelekwa Gereza la Guantanamo"

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza ujenzi wa kituo cha kuwashikilia wahamiaji katika Kituo cha Guantanamo Bay, ambacho alisema kitakuwa na uwezo wa kuhifadhi hadi watu 30,000. Alisema kituo hicho kilicho katika kambi ya Jeshi la Wanamaji la Marekani nchini Cuba, ambacho kitakuwa tofauti...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Pamoja na Taasisi ya Dodoma Legends Watembelea Gereza Kuu Isanga Dodoma

    ▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza...
  17. econonist

    Assad kawatesa Sana Wasyria kwenye gereza la Sednaya

    Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika kwenye gereza la Sednaya kuona kama ndugu zao bado wapo. Ila kwa masikitiko wengi hawapo aidha walikufa...
  18. Mto Songwe

    Ndoa ni gereza ila hakikisha usiwe mfungwa

    Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote. Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza. Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika...
  19. GENTAMYCINE

    Leo nimepekuapekua Video Clips za Hayati Magufuli nikakutana na ile ya Yule Mkaguzi wa Gereza la Butimba aliyechafua Hali ya Hewa

    Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji. Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
  20. MK254

    Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Magaidi yaliyokamatwa lazima yapata cha moto na show kali kali hadi hili liliamua kujitoa uhai likawahi mabikira.... Hamas Nukhba terrorist who took part in the October 7 massacre attempted to end his own life in an Israeli prison, Israeli media reported on Thursday afternoon. The terrorist...
Back
Top Bottom