gereji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
  2. M

    Fundi Garage STD 7 anaingiza 50-200K daily. Wahitimu wengi bila ajira hawamudu bando. Elimu ni muhimu, ila ujuzi ni muhimu zaidi

    Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu atapata nafasi hizo. Hivyo ni muhimu kumuandaa mtoto katika mazingira yatakayompa ujuzi mbalimbali ili...
  3. M

    Gari ngumu zinazopendwa na watu wenye vipato vya kawaida, huna haja ya kuwa na namba za mafundi, Kwenda Gereji ni service tu

    MAGARI YANAYOANZIA MWAKA 2000 NA KUENDELEA 1. Rav 4 - Kilitime Premio 240 Carina TI
  4. M

    Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  5. Mabasi ya Mwendokasi (DART) yakihudumia abiria gereji (kazi na utu)

    Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
  6. Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji

    Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji.
  7. M

    Ukienda gereji kurekebisha tatizo, ukalipia pesa lakini gari likaendelea kuwa na shida ile ile, pesa inarudishwa au unapotezea ?

    Umeenda na gari yako gereji kwa tatizo flani, Unahakikishiwa tatizo litatuliwa Unaambiwa inahitajika spea flani unatoa hela unaambiwa inahitajika oili na grisi unatoa hela unapigiwa hesabu za ufundi unatoa hela Kuna muda unatoa hata motisha kwa fundi Lakini baada ya matengenezo kukamilika...
  8. Watu mnaokaa Dar es salaam, je Hii gereji bado ipo?

    Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
  9. Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  10. W

    Gereji za kichina janja janja sana, gari ukiipeleka wanaifowadi gereji bubu au kuita mafundi wa huko, wanachoweza na usimamizi na spare nyingi.

    Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa. Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
  11. M

    Changamoto ya gereji za magari siku hizi

    Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo. Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha...
  12. Beginners: Tujifunze kufanya Diagnosis ya Magari wenyewe kabla hatujaenda Gereji!

    Habari wakuu. Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance). Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis. Sasa tukienda gereji...
  13. Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe. ======================== Otherwise mtumie baiskeli
  14. Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

    Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
  15. Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

    Habari wandugu, Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:- Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data Engine swapping ECU Remapping Electrical system maintainance Mechanical...
  16. K

    KERO Barabara ya Magomeni - Tandale - Sinza kugeuzwa gereji ya magari chakavu

    Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar. Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na barabara ya Shekilango, kuna uharibifu mkubwa wa mazingira. Barabara nzima imegeuzwa dampo ya magari...
  17. A

    Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
  18. Biashara ya gereji na changamoto zake

    Habarini wakuu, Natumai mnaendelea vizuri pia poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 22 na pia ni mwanafunzi wa chuo nikisoma kozi ya Mechanical engineering ngazi ya degree na pia naingia mwaka wa tatu katika mwaka ujao wa masomo unaoanza mwezi novemba. Kwa kipindi kirefu nimekuwa...
  19. Kwanini 95% ya 'Mabrazameni' wa Dar Magari yao wanayaosha Kienyeji Vichochoroni na huyapeleka Gereji Bubu yakiharibika?

    Katika huu Uzi wangu Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Comments zenu tukuka juu ya Hoja Kuu niliyoianzisha
  20. Wizi wa Masega Watua Kwa Rais Samia, Aeleza Mafundi Gereji Wanavyopasua Exhaust

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Jijini Arusha leo June 25,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba siku hizi kuna mtindo mpya wa Watu kupasua bomba linalotoa moshi wenye sumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…