genz

Genz (Persian: گنز; also known as Genizī and Gīnzī) is a village in Irandegan Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 361, in 92 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    Wanaume wa 50+ GenZ wanawatesa kwa kuyataka wenyewe

    Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia. Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza...
  2. Q

    Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

    Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much. Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa...
  3. T

    Kuna vijana sio GenZ

    Unakuta kijana ana elimu nzuri tu na nidhamu ila hayuko familiar kabisa na maisha mengine ya kidijitali. Kijana hajui kutumia word, hajui hata Chatgbt ni nini, kijana anapeleka simu kwa fundi ku install apps au ku rest simu. Kijana hamjui Maduro wala hajui kinachoendelea Iran. Kwa kifupi...
  4. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  5. Genius Man

    Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae

    Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae. Lazima tu ataachiliwa hata kama sio leo na akiachiliwa siku hiyo hiyo atakinukisha atakusanya watanzania barabarani yeye ndie rais wa wananchi.
  6. MamaSamia2025

    Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  7. The Palm Beach

    GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  8. The Burning Spear

    Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

    Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho.
  9. Aathan

    Tafteni pesa ma Genz

    Someni message hapo Screenshot
  10. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  11. Lech Poznan

    Gen Z Oktoba 29 tulifanya kosa kubwa

    October 29 shule za Msingi na zenyewe zilitakiwa zichomwe moto kama zilivyochomwa Vituo vya mwendo kasi, Shule nyingi za Dar ni mbovu zimechoka sana yani chakavu kama zingechomwa Moto na zenyewe zinge karabatiwa na kuwa mpya na madawati yange nunuliwa na Watoto wetu wange furahia mazingira...
  12. Bawabu wa pili

    Sonko aanzisha Chama kipya cha Siasa, awakaribisha GenZ

    Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party (NEDP), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Sonko aliondolewa katika nafasi ya Gavana wa Nairobi mwaka...
  13. The Burning Spear

    Kwa mara nyingine GenZ Wasimamisha Shughuli za kiuchumi Tanzania hii ni hatari

    GT Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba. Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi hawakuingia mzigoni 😄 🤣 😂. Annual increment ya next year sijui itakuwaje..je maandamano yote...
  14. B

    GenZ wamekataa kutawaliwa na mkoloni mweusi

    VIEWS 52,000 29 November 2025 Sumbawanga, Tanzania M/KITI WA CHADEMA SUMBAWANGA ADOLF MKONO AFUNGUKA MAZITO KWENYE KONGAMANO LA VIJANA | TUNA MAUMIVU https://m.youtube.com/watch?v=12pTD54NCT8 DC, DAS na Samia wapewa ukweli GenZ siyo wa kwanza kukataa ukoloni, wakati wa vuguvugu la vita ya...
  15. The Burning Spear

    PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  16. Sky Eclat

    GenZ wanayaweza tuliyodhani ni ya kufikirika

    A 19-year-old woman recently gave birth to twins, but the shocking twist is that each baby has a different biological father — a rare medical phenomenon known as heteropaternal superfecundation. While extremely uncommon, it can occur when two eggs are released during the same cycle and...
  17. Q

    PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  18. MamaSamia2025

    Askofu Mwamakula unavuka mipaka kwa kuhamasisha GenZ wawe kama watoto waliolazimishwa kupigana vitani na Museveni

    Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; __________________________ GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU! Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano...
  19. The Palm Beach

    PostGE2025 Kuelekea Maandamano ya D9: GenZ watoa waraka wa utaratibu wa kuundwa kwa Serikali ya mpito Tanzania

    PRESS RELEASE ‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️ Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽 👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 hivyo hadi sasa hakuna utawala wa serikali halali iliyowekwa na wananchi kwa...
  20. The Burning Spear

    Nawashauri Vijana waachane na Nanauka, kama anahitaji kusikia kero za Genz asubiri D9 Mambo yote yatawekwa hadharani

    GT Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda. Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS..... Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
Back
Top Bottom