geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wapya Halmashauri ya Wilaya ya CHATO - GEITA bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni barua... Ukweli ni kwamba Barua...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Jimbo la Geita (CHADEMA)abadilishiwa mashitaka na kusomewa shitaka la ugaidi. Awali alishitakiwa kwa njama za kuua askari

    Ugaidi huu wa Tanzania ni tofauti na ule aliokuwa anaufanya Osama bin Laden?👇
  3. JamiiForums Tanzania Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Muuguzi katika Kituo cha afya cha Nyarugusu anawalangua Wagonjwa bei ghali

    Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza fedha zaidi ya kiwango kilichowekwa na mfumo wa serikali. Inadaiwa kuwa mfumo wa serikali unatoza...
  5. JamiiForums Tanzania Kwamba Kijiji Cha Katoro Kitaipita Manispaa ya Geita na kuwa Mji Mkubwa kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga?

    Naona kelele zimekuwa nyingi sana kuhusu hicho Kijiji Cha manamba wa migodini ambapo wanadieiki kusema ni Mji umeipiku Hadi Geita. Hata kama mnasifia acheni mzaha na kuweni na Heshima.
  6. JamiiForums Tanzania Watu elfu 95 wanakadiriwa kuishi na VVU Geita

    Mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa na watu elfu 95 wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wananchi wakihimizwa kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu hali zao. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Geita, Lucy Beda,i akimwakilisha Mkuu wa Wilaya katika maadhimisho ya Siku ya Afya...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

    Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂 Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
  8. JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  9. JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta Lake Oil chateketea kwa moto Geita

    https://www.facebook.com/share/v/19DSDGvKwW/ Chanzo cha moto👇 https://www.instagram.com/reel/DanG7CasUE4/?igsh=MWVqYWtsbDN1cnc2bw==
  10. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Natoa wito Kwa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Geita kuwa Jiji kwani Ina vigezo stahiki. Ukiacha vigezo vya ujumla lakini Geita imekishi vigezo muhimu zaidi vya Mapato ya ndani ambapo Kwa mwaka wa fedha 2015/26 imefanikiwa kukusanya zaidi ya Bilioni 27.Mapato haya ni zaidi ya Majiji ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nasikia sasa hivi kila pisi inakimbilia Geita. Kunani!?

    mashimo yatakuwa yametema
  12. JamiiForums Tanzania CCM Geita: Maandamano ya Julai 7 Yanaweza Kuhatarisha Amani ya Nchi

    Kelele za Oktoba, 2025 zimerudi tena za kuhubiri amani amani! Acha inyeshe tena tuone panapovuja ======== Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimewataka Watanzania kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kufanyika Julai 7, kikisema hatua hiyo inaweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

    Mwanza umelala mno Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Omary Sukari: Geita ina kiwango kikubwa cha uzazi hiyo inafanya uzazi wa mpango kuwa kipaumbele kikubwa

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango. Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma: 1. Mafunzo na...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Sisi huku Geita tunawatibu Wazanzibari hatuwabagui

    Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi. Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua Sisi hatujui Mzanzibari tunajua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Exchange request!

    Habari! Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo idara ya elimu sekondari kwa masomo ya mathematics. Aje Lindi - mtama nije geita. Asante!
  17. R

    JamiiForums Tanzania Katoro Geita imeitika Wimbo wa Katiba mpya

    Hawajasombwa na wametangaziwa siku moja, wamefurika.
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

    Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi Geita waomba serikali kuwawezesha bando

    Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa waajiri wao kwa wakati. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini na baadhi ya watumishi kuishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…