gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askari wa Ukraine wapoteza morali ya vita limeripoti gazeti la NEWYORK TIMES

    Ukraine’s military morale in decline – NYT Those willing to fight are left behind while the unwilling are drafted, according to the US newspaper. Ukrainian servicemen run for cover amid a Russian shelling. © AFP / Aris Messinis Kiev’s “secretive and arbitrary” military recruitment, which...
  2. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi na habari kuhusu harufu mbaya Vingunguti

    Mimi hupenda kusoma magazeti kwa sababu mbalimbali. Katika magazeti ya nyumbani Gazeti la mwananchi halikosikani katika menu yangu pale inapowezekeana Mada Leo nimesoma article inayosema "Harufu kali machinjio ya Vingunguti yaleta kilio". Kilichonifanya kuandika humu si harufu wala kilio, ni...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima linashindwa cha kuandika kwa mrengo wa kupinga linaishia kuipamba Serikali

    Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala. Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson alivyomuelezea Rais Samia Suluhu kwenye gazeti la Time

    BY ELLEN JOHNSON SIRLEAF MAY 23, 2022 6:06 AM EDT President Samia Suluhu Hassan took office in March 2021, and her leadership has been a tonic. That year has made a big difference to Tanzania. A door has opened for dialogue between political rivals, steps have been taken to rebuild trust in...
  5. JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

    Kesi hiyo ilianza kusikilizwa Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam mbele ya Jaji Leila Mgonya wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Katika kesi hiyo, Mchechu anawakilishwa na mawakili wa kujitegemea Aliko Mwamanenge ma Vitalis Peter. Mchechu anadai kuwa gazeti hilo katika toleo lake la Machi...
  6. JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima rasmi mtaani leo

  7. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  9. JamiiForums Tanzania Ili kuweka tangazo katika gazeti la serikali natakiwa kufuata hatua gani?

    Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

    Kinasema... 'Wamerudi Aiseeee" Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia. Karibuni.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Gazeti la Raia Mwema ni waongo

  12. JamiiForums Tanzania Gazeti la The Citizen laomba radhi kwa habari ya 'kushadadia' vita ya Urusi Vs Ukaine

    Gazeti la The Citizen la Jumatano Machi 9, 2022 limeomba radhi kwa kile kilichoandikwa katika habari yao kubwa gazetini hapo ambayo ilitoka Jumatatu Machi 7, 2022. Katika The Citizen la Machi 7, ilitoa habari kubwa ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho: “UKRAINE CONFLICT NOT ALL BAD...
  13. JamiiForums Tanzania Bilal Rehani Waikela katika gazeti la Uhuru

    Muasisi wa TANU Western Province Mzee Bilal Rehani Waikela yumo katika gazeti la Uhuru la leo.
  14. JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini mnakataa nchi Kukopa, wakati Kukopa Kwetu kumesaidia kujenga Darasa Zuri linaloonekana katika Gazeti la Nipashe la Leo?

    Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena. Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Gazeti la New York Times lafichua uhalifu wa kivita wa jeshi la Marekani katika nchi za nje

    Gazeti la New York Times la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti inayoema, katika miaka ya hivi karibuni, operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika Mashariki ya Kati zimesababisha idadi kubwa ya vifo vya raia wasio na hatia. Serikali ya Marekani imekuwa ikipuuza hasara za raia zinazosababishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Gazeti Mwananchi lamchambua Samia kama karanga

    Ukimwelewa mwandishi anaonyesha Rais alikuwa anaenda chaka. Hakukata kabisa kiu ya wadau
  18. JamiiForums Tanzania Gazeti la Machinga. Huenda ni kweli kuwa na improved version ya gazeti la Musiba

    Wakuu kwema.? Nimeanza kuamini zile hisia za kwamba gazeti hili ni new version ya gazeti la Musiba. Hii baada ya leo kusikia kuwa wameandika kwamba Polepole hayuko sahihi kuhusu suala la machinga juu ya kile ambacho Polepole juzi kuwahusu. Good morning.
  19. JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema lamaliza kifungo, larejea kwa kishindo

    Baada ya kufungiwa kwa muda kutokana na kuandika kuhusu uanachama wa CCM wa Hamza, sasa limerudi tena
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…