Bilal Rehani Waikela katika gazeti la Uhuru

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,857
30,205
Muasisi wa TANU Western Province Mzee Bilal Rehani Waikela yumo katika gazeti la Uhuru la leo.

Screenshot_20220118-171602_Facebook.jpg
 
..wamemtelekeza miaka yote leo ndio wanajibaraguza.

..sidhani kama mzee waikela anawahitaji ccm na serikali wakati amepambana mwenyewe toka ujana mpaka leo amezeeka.

..ccm wanamtembelea mzee waikela sio kwasababu wanatambua mchango wake, bali kwa kutaka kuficha aibu ya kumtelekeza muasisi wa tanu.
 
Mzee ni cuf kindakindani na katika nyumba yake kuna bendera ya cuf mpaka kesho.

Na ndani ya chumba kuna picha ya mwenyekiti wake.
 
Uungwana...
Kuwa mwanachama wa CUF au chama kingine chochote hakimtoi kwenye historia yake kuwa ni muasisi wa TANU 1955 na alipigania uhuru wa Tanganyika.
 
..wamemtelekeza miaka yote leo ndio wanajibaraguza.

..sidhani kama mzee waikela anawahitaji ccm na serikali wakati amepambana mwenyewe toka ujana mpaka leo amezeeka.

..ccm wanamtembelea mzee waikela sio kwasababu wanatambua mchango wake, bali kwa kutaka kuficha aibu ya kumtelekeza muasisi wa tanu.
wewe umejuaje wamemtekeleza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom