gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. sanalii

    Unachukizwa na yanayoendelea nchini ila unahalalisha kinachoendelea Gaza, we ni mnafiki.

    Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga. Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu...
  2. Mlaleo

    Warabu Wa Gaza Wafurahia mgao mpya wa Chakula cha Msaada Dezo, wataka mpango huo wa Israel na USA uendelee wasema UN ni Hamas mafisadi

    Mpango huu ni pigo kuu kwa Hamas maana walitaka kuthibiti chakula ili kuandikisha magaidi wapya kwa mshahara wa Chakula cha Kuiibia raia kimabavu.. Israel imesema inafugua vituo vingine zaidi vya kugawa chakula. Aljazeera wameumia sana na ndio wamezidisha chuki na heading news zao hadi wasomaji...
  3. Echolima1

    Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza

    Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza, ambapo kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Sinwar aliangamizwa katika kituo chake cha kamandi kwenye Handaki lililojengwa chini ya Hospitali hiyo. Umoja wa Mataifa na serikali za Magharibi zilisisitiza mara kwa mara hospitali hiyo...
  4. Webabu

    Wanaharakati 11 maarufu akiwemo Greta Thunberg wameamua kujitoa muhanga ili kuvunja mzingiro wa Israel kuwafikishia misaada Gaza

    Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza. Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa...
  5. ELI COHEN

    Wananchi wa Gaza ni ngumu kuiona nuru kwa maana wamezungukwa na watu wenye nguvu wenye kuwataka kuwaona wakiendelea kutaabika.

    Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni: Qatar Iran Yemen Jordan Maana hawa ndio wanaofadika na misaada wanayopewa palestina huku wakitaka kuonesha dunia tabu ya palestina kwa kumchokoza...
  6. Yoda

    Mahubiri ya Gwajima yamuibua Zitto Kabwe akichukizwa na mauaji ya watoto na raia wasio na hatia huko Gaza!

  7. ELI COHEN

    Hiki ndicho hamas walichokiachia Gaza

  8. Echolima1

    Magaidi wa Hamas wanaangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

    Magaidi wa Hamas wanaendelea kuangamizwa huko Gaza!!! Na Gaza inazidi kusawazishwa na muda si mrefu itakuwa sawa!! https://x.com/vividprowess/status/1928494110580896113?s=61 https://x.com/vividprowess/status/1928494110643818982?s=61
  9. Echolima1

    Baadhi ya raia wa Israel wajitokeza kuzuia misaada kupelekwa Gaza!!!

    Baadhi ya wananchi wa Israel wanaopinga mkataba wa kusitisha mapigano na magaidi wa Hamas leo wamejitokeza njia kuzuia Msafiri wa malori yenye misaada kuwapelekea magaidi wa Hamas huko Gaza
  10. Echolima1

    Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka

    Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka mkataba kati ya Israel na Hamas...
  11. Echolima1

    Magaidi wa Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza

    Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza Mapema leo, mamia ya wakaazi wa Gaza walivamia ghala kubwa katikati mwa Gaza, linalotumiwa na Hamas kuweka akiba ya chakula kingi, yakiwemo magunia ya unga. Ghala hilo lilikuwa likihifadhi vifaa ambavyo havijagawiwa raia kwa...
  12. Echolima1

    Asante Trump Asante Netanyahu kwa misaada yenu kwetu- Wakazi wa Gaza!!

    Kuna clip zinasambaa zikiwaonyesha wananchi wa Gaza wakimsifu Rais Trump na hata Benjamin Netanyahu kwa juhudi mpya za Marekani na Israel kupeleka chakula moja kwa moja kwa wale wanaohitaji misaada. Aljazeera na PressTv hawawezi kuonyesha video hii kwa sababu ni wanafiki sana!!!
  13. Ritz

    Hamas yakubali pendekezo la Marekani la mpango wa kusitisha mapigano Gaza

    Wanaukumbi. Duru za habari zinasema Al Jazeera Hamas imekubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na Marekani. Rasimu ya makubaliano hayo ni pamoja na kusitisha mapigano kwa siku 60 na kuachiliwa kwa mateka 10 walio hai pamoja na miili ya watu wengine kadhaa kwa malipo ya wafungwa wa...
  14. Echolima1

    Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

    Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto. Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa...
  15. kavulata

    PreGE2025 Lissu dhidi ya Ukraine, Gaza, DRC na Sudan, ana bahati mbaya

    Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning. Yaani washindwe kutatua...
  16. Echolima1

    Misaada ya kiutu yaendelea kumiminika Gaza!!

    Malori 100 ya misaada ya kibinadamu yakiwa yamebeba fomula ya watoto, unga, na vifaa vya matibabu yaliingia Gaza jana kupitia Kivuko cha Kerem Shalom. Misaada kama hii ndiyo inawapa kiburi magaidi hao kuendelea na vita,kuwashikilia mateka na kuendelea kushikilia maiti zilizotekwa nyara toka...
  17. N

    China ilipeleka msaada Gaza ikiusindikiza na ndege 6 za kijeshi

    Kwanini hizi taarifa hazitangazwi kwenye vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi? Check video ina maelezo ya kiswahili
  18. Echolima1

    Gaza si sehemu salama kuishi tupeleke Libya-Waandamanaji huko Gaza!!

    Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi
  19. Echolima1

    Khan Younis huko Gaza imesawazishwa na makombola!!

    Katika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na magaidi wa Hamas.
  20. Echolima1

    BBC ilivyotaka kuuziba ukweli wa Mambo huko Gaza!!!

    Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
Back
Top Bottom