gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Gaza yaendelea kusawazishwa!!!!

    Baada ya majeshi shupavu ya Israel kuyakamata maeneo bila upinzani wowote huko Gaza, Majeshi hayo sasa yanasawazisha eneo hilo tayari kwa matumizi mengine
  2. Echolima1

    Israel yakataa mkataba wa miaka Mitano kuwaachia mateka wote wanao sikiliza na Hamas huko Gaza

    Rasmi: Israel haitakubali mapatano ya miaka 5 ya Gaza, Qatar haisaidii mazungumzo ya utekaji nyara ya hivi karibuni Afisa wa Israel anasema kuwa wapatanishi "hivi karibuni wamekuwa na ushawishi ambao haukuwa mzuri kwenye mazungumzo" kwa kuwaachilia mateka kutoka Gaza. Afisa mmoja wa Kiarabu...
  3. Echolima1

    Alon Ohel amekuwa Mateka huko Gaza kwa siku 570

    Alon Ohel amekuwa kifungoni huko Gaza kwa siku 570, akiwa na njaa, akijeruhiwa, akinyanyaswa na kufungwa minyororo. Alon alipoteza uwezo wa kuona katika jicho moja na alikuwa na vipande kwenye mwili wake tangu tarehe 7 Oktoba. Leo babake alitoa habari mpya kuhusu hali yake ya kushangaza...
  4. Echolima1

    NAFASI ZA KAZI-Mossa na Shin-Bet wanahitaji watu huko Gaza!!!!

    Shirika la usalama wa ndani la Israel Shin Bet linafanya kazi ya kuajiri Wapalestina huko Gaza. Wananchi wa Gaza wanaripoti kupokea vipeperushi na noti za shekeli 20 zikiwa na SIM kadi na nambari ya simu ambapo unaweza ku lata "Kapteni Abu Haitham," mhudumu wa Shin Bet kaskazini mwa Gaza...
  5. Echolima1

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  6. Echolima1

    Kiwango cha kuishi chazidi kushuka huko Gaza

    Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023 Kiwango cha wao kuishi kimepungua sana kutokana na mambo wanayoyafanya na wengi huna katika vurugu na wengi sana...
  7. ndege JOHN

    Mvua za radi zinapiga muda huu napata picha wanachokutana nacho wakazi wa Gaza

    Mvua za vuli zinazoendelea Lindi usiku huu Toka mchana sio ndogo radi zinarindima sijapata kuona. Ule mngurumo wake na sauti yake MPAka nyumba unahisi inashake ..sasa najaribu ku imagine wakazi wa Gaza ambao sio member wa hamas jinsi wanavyokumbana na mabomu ya Israel Eeh Mungu baba tusamehe...
  8. Echolima1

    Wakati Gaza wanaondoka kimya kimya Hezbollah nao watimkia Amerika-kusini

    Mamia ya makamanda wa Hezbollah walikimbia Lebanon kuelekea Amerika Kusini Ripoti za Saudia zinaonyesha kuwa Hezbollah imewaagiza makamanda wake wa uwanjani kuondoka nchini Lebanon kwa hofu kwamba wanaweza kufuatwa ikiwa miundombinu ya kijeshi ya shirika hilo itavunjwa. Rais wa Lebanon Joseph...
  9. Echolima1

    Mamia ya Wapalestina huko Gaza waondoka kwenda ughaibuni

    Mamia kadhaa zaidi ya watu wa Gaza wamehamia ughaibuni kimya kimya wengi wao wameenda Indonesia 🇮🇩 Israel inafanya kila iwezalo kuwezesha maono ya Rais Trump kuhusu Gaza kuna wajinga wengine wanasema hilo haliwezekani wakati sasa hivi linatekelezwa!! Nchi zilizochukua wahamiaji wa hivi...
  10. Webabu

    Alipoona yuko mbali na haikutosha, hatimae Benjamin Netanyahu alikwenda Gaza na kupiga makele haya

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu visited northern Gaza on Tuesday, accompanied by the country's defense minister, head of the military and other senior officials, his office said. A statement released by the prime minister's office said Netanyahu received a security briefing in...
  11. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu atembelea wanajeshi wake huko Gaza

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
  12. Just Pray

    Shambulizi la Israel laua mhudumu wa afya Gaza, tisa wajeruhiwa

    Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi, na kusababisha kifo cha mhudumu wa afya na kuwajeruhi wengine tisa, wakiwemo wagonjwa waliokuwa wakitibiwa. Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi...
  13. Echolima1

    Gaza ilikuwa Paradiso ya Mashariki ya kati!!

    Gaza haikuwa gereza kama wajinga na wapumbavu walivyokuwa wanaaminisha watu. Gaza ilikuwa ni johari. Watu waliishi vizuri zaidi kuliko katika nchi nyingi duniani, Lakini Hamas kwa ujinga wao na uovu wa kutosha walifanya mashambulizi ambayo yalibadilisha kila kitu huko Gaza!!! Sasa hivi Gaza...
  14. Echolima1

    Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

    Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
  15. Echolima1

    Magaidi 11 walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 waangamizwa Katika Operation zinazoendelea huko Gaza.

    IDF na ISA wamewaangamiza magaidi 11 wa Hamas na Islamic Jihad waliojipenyeza Israel na kushiriki katika mauaji ya Oct 07,2023, wakiwemo wale waliohusika moja kwa moja katika mauaji na utekaji nyara wa raia na wanajeshi wa Israel. Tisa waliuawa katika operesheni za hivi majuzi huko Gaza...
  16. S

    Ukistaajabi ya Gaza utayaona ya Afrika Mashariki

    Ni mewaza na kuwazua nini kina tu tafuta Africa Mashariki.? Je ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora? Viongozi waupinzani Tanzania Uganda na Susan wote wako kwenye mikono ya polisi. Je hii ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora?
  17. M

    Kwa tabia za timu za kiarabu hapo ndio najua kwanini kule gaza Israel acheki na wowote

    Kwa hizi tabia za kishenzi hawa jamaa ndio maisha yao....
  18. Echolima1

    Rafah huko Gaza sasa hivi iko mikononi mwa majeshi ya Israel baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka huko na majeshi ya Israel

    Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel. Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi walitarajia wale askari wa Hamas waliokuwa wanavaa Combat wakati wa mabadirishano ya mateka wangejitokeza ili...
  19. Dalton elijah

    Waandishi Wa Habari Wanazidi Kuteketea huko Gaza

    Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita. Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed...
  20. ELI COHEN

    Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
Back
Top Bottom