gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Qatari ndio wanaozusha uongo wa Njaa kali huko Gaza, Vyakula havijawahi kuisha Gaza tokea vita huko Gaza ianze, Qatar anacheza game

    Waisraeli wanashuku Qatar kuwa nyuma ya kampeni ya uenezi ya 'njaa' ya Hamas Maafisa nchini Israel wanaamini kuwa Qatar inaongoza kampeni ya propaganda ya Hamas kuhusu "njaa huko Gaza," ambayo inapokea usikivu mkubwa wa kimataifa. Maafisa wa Israel wanaamini kuwa Qatar inaongoza kampeni ya...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump atabiriwa kuidondosha chini Marekani.Amri zake zimeshindwa Gaza,Yemen na Iran.Haziwezi kufaulu kwa Putin

    Mapema mwezi huu raisi Trump alimpa raisi Putin wa Urusi mwezi mmoja na ushei ili akubali suluhu na Ukraine vita vimalizike. Sasa Trump amesema amepunguza muda huo na kumtaka Putin asimamishe vita katika kipindi cha wiki mbili tu zijazo.Urusi baada ya kusikia amri hiyo imesema imesikia maneno...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Nani anahusika na mateso ya Wapalestina huko Gaza?

    Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao. Lakini hii haiwezi na haitaongoza Israeli kufanya maamzi ya kupelekeshwa na maamzi ya nchi zikiwa pokera waislamu kisha...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau adai Gaza hakuna njaa, wamekuwa wakiruhusu misaada kipindi chote cha vita

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula “Tunaruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza wakati wote wa vita la sivyo, kusingekuwepo na Wapalestina Gaza,” alisema Netanyau...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini dunia inashindwa kugawana raia wa Gaza kuwakoa na maafa yanoendelea huko?

    Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hamas wakionesha Utaalamu wa hali ya juu katika nyanja hizi. Gaza wanateswa na wao wenyewe.

    Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Picha Hizi Za Mateso Ya Watoto Kutoka Gaza Zimenibubujisha Machozi ya Huzuni .Watanzania tutunze Amani na kuwalaani wanaotaka kuchochea Machafuko

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana ,inaumiza sana na inahuzunisha sana kuona ,kutazama mateso ya njaa wanayopitia Watoto wanaoishi eneo la Gaza. Watoto wanaangamia ,watoto wanateseka kwa vita ,watoto wanapoteza maisha kwa njaa ,watoto wanabakia mifupa mitupu kwa kukosa chakula ,watoto...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ndege za Jordan na UAE zadondosha tani 25 za misaada huko Gaza

    Muda kidogo uliopita, televisheni ya taifa ya Jordan iliripoti kwamba Jeshi la anga la Kifalme la Jordan limehusika katika operesheni na Umoja wa Falme za Kiarabu ya kudondosha "tani 25 za chakula cha msaada na vifaa muhimu vya kibinadamu" huko Gaza. Ndege mbili za Jordan C-130 na ndege moja ya...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

    Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel yashambulia Vituo vya Shirika la Afya Duniani (WHO), Gaza

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa amri mpya ya uhamishaji. WHO imesema wafanyakazi na familia zao, wakiwemo watoto, walikumbwa na hatari...
  11. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania IDF yashumbilia kanisa katoliki Gaza

    Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema: “Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.” Kanisa...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel yalipua Kanisa la Katoliki la Gaza linalohifadhi wazee, watoto

    Wana jukwaa wa JF Papa Leo XIV amerejelea wito wake wa kusitisha mapigano Gaza baada ya watu watatu waliokuwa wakihifadhi katika kanisa katoliki katika mji wa Gaza kuuawa katika shambulizi la Israel. Telegramu ilisema Papa "amehuzunishwa sana kujua juu ya kupoteza maisha na majeraha...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Tuna habari njema Gaza

    Rais wa Marekani Donald Trump kasema kuna habari njema huko Gaza! Julai 16, 2025 Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza bila kufafanua kuwa “kuna habari njema kuhusu Gaza” katika hafla ya Ikulu ya White House Mjumbe maalum wa Marekani kwa Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, amesema mazungumzo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watu 20 wamepoteza maisha kwenye kituo cha msaada (GHF) Gaza

    Wapalestina wasiopungua 20 wameripotiwa kupoteza maisha siku ya Julai 16,2025, katika kituo cha kugawa misaada cha Gaza Humanitarian Foundation (GHF) kilichopo Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, huku kukiwa na maelezo yanayopingana kuhusu chanzo cha msongamano huo wa umati GHF, shirika...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Beit Hainoun huko Gaza leo hii imepigika vizuri sana, na sasa inasawazishwa!!!

    Majeshi ya israel yanaendelea na kuisawazisha Gaza ili iwe sehem salama kuishi watu leo hii ni zamu ya Beit Hainoun kusawazishwa!!!!
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Israel aliyeshiriki kuua halaiki huko Gaza ajiua kutokana na msongo wa mawazo

    Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD). Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa...
  18. Comred Mbwana Allyamtu

    JamiiForums Tanzania Gaza Marine; Chanzo cha Gaza kuwa concentration camps

    GAZA MARINE; CHANZO CHA GAZA KUWA CONCENTRATION CAMPS. Uvamizi wa Israel "Gaza" ni mpango wa siku nyingi, sio jambo la Bahati mbaya, Kinachofanyika Gaza kina Sura mbili.... Moja mkakati wa kuimiliki "Gesi asilia inayofikia 35 BCM (35 Billion Cubic Meters), Pili kuvunja harakati ya "Pan-Islamism...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanakandarasi wa misaada Gaza aambia BBC aliona wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina

    Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
Back
Top Bottom