gari

  1. JamiiForums Tanzania Apple walitumia zaidi ya Trillion 25 kwenye Project Titan na ikafeli bila kutengeneza ata gari moja la kuzugia!

    Wanavyosemaga Kampuni la Teknolojia Apple lina hela hawatanii. Ndio maana kuchoma Trillion 25 kwa miaka 10 kwenye R&D, kwao ni hela ndogo (hii ni sawa na net profit ya mwezi mmoja!) Sasa, hawa jamaa mwaka 2014 walipata wazo la kuingia kwenye sekta ya magari, na kutaka kutengeneza gari la...
  2. JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Mtumishi Obama nae ajizawadia gari BMW 3 Series, E90 320i

    Muigizaji wa Comedy mwingine William Mockray anaekwenda kwa jina la stejini Mtumishi Obama, nae amejionesha leo akijipa zawadi ya gari aina ya BMW 320i ya mwaka 2006 hadi 2008. Ni hatua nyingine nzuri kwa wasanii wa comedy, kila lakheri. BMW 3 series E90 ilianza kutengenezwa mwaka 2005 hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua IST

    Jamani Wana ukumbi natafuta gari ambayo bado Iko kwenye hali nzuri (IST) bajeti yangu ni 7ml 0795154145
  4. JamiiForums Tanzania Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

    Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  6. JamiiForums Tanzania Responded Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

    Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika? ---- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  7. JamiiForums Tanzania Yaani Aboubakar Sadick pamoja na Ujanja wako wote na Tambo zako zote kumbe Gari yako iliyoungua ilikuwa haina hata Fire Extinguisher ili Uiokoe?

    Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea usiku huu wa majira ya saa sita Septemba 2, 2025 ambapo katika...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi hizi Gari za STL zinaruhusiwa kutembea zikiwa na Plate Number nusu?

    Samahani naomba kuuliza hivi hizi gari za STL zinaruhusiwa kutembea na Plate Number nusu kama hivi au isiyosomeka vizuri maana kuna nyingine pia nimeiona inayo mbele tu nyuma hakuna. Au yawezekana Polisi hawaruhusiwI kuwasimamisha wao!!!?… 🤯🤯
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la fedheha uwe na gari au pikipiki lakini mtoto anafika miaka 14 hajui kuendesha

    Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia. Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida ni elimu. Mwaka una wiki 52 na siku 365. Je, umeshindwa kutenga muda kwa mtoto wako, hasa wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  11. JamiiForums Tanzania Nyerere Road (Barabara ya mjini -Airport ) usiku huu imechangamka. Gari heavy za polisi zinafanya movement isiyo kawaida

    Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
  12. JamiiForums Tanzania Nipe Gari yako Kwa mkataba

    Habari wakuu. Kweli tunapambana wala hatukati tamaa ya Maisha sababu tayari familia tumeanzisha. UBER/BOLT Kama unagari yako kuanzia namba (EA) ambayo huifanyii matumizi yako binafsi mara Kwa mara basi naomba nipe mkataba wa miaka MIWILI kila wiki nikuwekee 150000 (Laki moja na Hamsini) basi...
  13. JamiiForums Tanzania Nabii IPM: Ni aibu una miaka 50 huna nyumba wala gari.

    Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki? https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
  14. M

    JamiiForums Tanzania Feni ya gari

    Naomba kufahamu wapi nitapata swichi ya kufunga na kufungua feni ya gari kwani iliyopo kwa sasa imekufa niko hapa dar. Gari ni rav 4 old modern
  15. B

    JamiiForums Tanzania NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

    Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan. BAJETI Isizidi 35M MATUMIZI Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza MACHAGUO Rav4 3rd Generation Mazda CX 5 Outlander Forester Xt Nissan Duals/X strail Mambo muhimu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Gari mbili zenye usajili wa kufanana

    Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kijana wa miaka 30+ kukosa nyumba, gari na kipato cha kueleweka

    Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni. Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti

    Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
  19. M

    JamiiForums Tanzania GARI INAUZWA TOYOTA VITZ

    Corrola BEI MILLION 3.5 Reg BE Full file D Piga sim chapu 0612323330
  20. JamiiForums Tanzania Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

    Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…