gari

  1. M

    Uchaguzi wa Gari zuri

    Habari za leo wanajamvi Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama 1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku) 2. Upatikanaji wa vifaa 3. Ubora na kudumu kwa gari kwa kuzingatia mazingira ya barabara zetu Ni lipi gari zuri kati ya hizi 1. Subaru XT 2. Suzuki...
  2. Ramadhan Ally Idavas ameacha vyeti vyake kwenye gari. Msaada ili avipate

    AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo. Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es Salaam. Nilishukia Feri (Dumila - Morogoro) Begi lake lina; 1. Vyeti Kidato cha Nne - Ujenzi Secondary...
  3. PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  4. Nitoeni ushamba leo juu ya kuagiza gari mtandaoni

    Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
  5. Nitapata gari gani convertible price ndogondogo

    Kwa wasiojua convertible ni gari ambayo ina paa ambayo inaweza kukunjwa chini au kuondolewa. Mad Max na @extrovent msaada tafadhali
  6. Nilipogundua Subaru Forester inatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

    Nilijichanganya 2022 nikanunua 2009 Subaru forester. Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2. Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
  7. Nina million 23 nataka Gari

    Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
  8. Ni kwanini gari za Singapore zinaogopwa?

    Cha kwanza inabidi ujue kuwa kumiliki gari ukiwa Singapore ni mtiti, kukamilisha usajili wa gari ukiwa Singapore inawezekana ikawa ni gharama zaidi hata ya Tz japo sisi tunatumia second hand wao hata mpya zinakua na gharama sana. Kuna kitu kinaitwa Certificate of Entitlement (COE) hapa...
  9. KERO Tabia ya Gari za Abiria Barabara ya Mbeya - Kyela (Kilometa 120+) kubeba Abiria kuliko uwezo ni hatari kwa usalama

    Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake. Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
  10. Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

  11. SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

    Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa Siohaba kukuomba...
  12. L

    Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  13. Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse

    Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango ulichopanga njia sahihi ni kumwambia wakala wa Forodha(Clearing Agent) afanye maombi (TRA) ya...
  14. G

    Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  15. Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

    Watz ni watu wajinga Sana . Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima. Baba Mama Watoto Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote. Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
  16. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  17. Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

    Habari wanajamvi. Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa. Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo. Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya. Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya...
  18. Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  19. Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  20. Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…